Kilichonifanya na aliyenivutia mpaka nikajiunga JamiiForums

Kilichonifanya na aliyenivutia mpaka nikajiunga JamiiForums

Yaani hapa ndo natoka chimbo.
Biashara imekuwa ngumu sana.
Si unajua tena umri umeenda na kuna ingizo la watoto wapya.
Ndo changamoto za biashara usikonde. Kaza moyo, wengine wanapenda watu wazima sababu ya uzoefu. Mimi pia nlivutiwa kuingia JF sababu yako sababu ya huduma ulinipa. Legeza kiuno na endeleza mapambano hawa watoto wasikutishe.uzoefu utakubeba na usikate tamaa. Karibu pia nikuunganishe na Kalyinda.
 
Mimi nlijiunga miaka mingi iliyopita kufuatilia habari za siasa. Ofisi ilinitaka niwe karibu sana na kila habari ya siasa humu ndani hasa kwa kuwa kuna mengi yalikuwa yanaendelea.

Miaka hiyo hbr za uchunguzi nyingi na files nyingi za siri zilikuwa zinaibukia humu. Kuna watu walikuwa wanatema madini kinyama.

Baadaye nikajikuta navisit pia Habari Mchanganyiko na Mapenzi na Mahusiano. Huko kuna wamba/miamba 3 siwezi wasahau.
1. GuDume
2. General Galadudu
3. CHIEF MKWAWA

Hawa jamaa huwa kipindi flani nakaa tu naanza soma nyuzi zao za kale.
Nashukuru. Tupo pamoja.
 
Back
Top Bottom