Kilichonifanya niachane na forex ni hiki hapa

Kweli mzebaba,,, wanaosema Forex ni mchezo huwa mm nawaondokea taratibu najua hatutaerewana na hata nierewa nkimweleza zaid ataanza kufosi nikubariane nae forex ni mchezo km betting,,, !!! Good mwambie akalale akue kwanza
 
Wewe ni muongo

Maelezo Yako ni uongo pure
Kama ni kweli basi alifanya entry kwenye HTF ...na huu upuuzi wengi ulitusumbua tulipoanza kutrade... Kama sivyo basi BROKER WAKO ni mshenzi...tumia broker aliesajiliwa MAREKANI,UINGEREZA au SEYCHELLESSY
 
Billionaire traders are the wealthiest traders in the world, earning more than 1.000.000.000 dollars from trade assets.
Top 5 Famous Billionaire Traders in the World
George Soros
Carl Icahn
Ray Dalio
Ray Dalio forex trading
David Tepper
James Simons


The Richest and most famous active traders in the World list in 2022 are:
George Soros (8.6 billion dollars)
Paul Tudor Jones II (7.3 billion dollars)
John Paulson (4.0 billion dollars)
Andreas Halvorsen (6.3 billion dollars)
Bill Ackman (3.3 billion dollars)
Before you see the wealthies
The top 15 most prosperous stock traders in the US in 2022. are:
Warren Buffett $107.2b
Jim Simons $24.4b
Ray Dalio $20b
Carl Icahn $15.6b
David Tepper $15.8b
Ken Griffin $20.8b
Steve Cohen 15.9b
George Soros 8.6b
Israel Englander 10.5b
David Shaw 7.5b
David Siegel 6.5b
Chase Coleman III 10.3b
Paul Tudor Jones II 7.3b
Bruce Kovner 6.2b
Stanley Druckenmiller 6.8b
 
Alafu huyu Imack ni mbongo kabisa hapa hapa TZ, so hapa inamaanisha kuna vitu anavijua na kwa ambae anapata loss havijui, watu wakae chini wajifunze kwa waliofanikiwa, sio kwenye forex tu but kwenye field yoyote ile ukijifunza kwa aliyefanikiwa na we chance yakutoboa ni kubwa sana. All the best
 
Tfuten maarifa kuchoma sindano ni rahisi ila kama huna mafunzo unaweza ukaua mtu, forex ni rahisi ila kama huna mafunzo utaishia kulaumu watu na kupoteza pesa
 
Mkuu unamoyo kumuelezea yote haya mi nishamaliza kumuita Bata tu inatosha mtu anafanya forex halafu hata hajui kuwa brokers wanaleseni..[emoji1787]
Huyu usikute hata alichagua broker wa hovyo!.
Halafu anakwambia eti alianza forex since 2013. Lakini hadi leo haijui forex inavyo-operate duniani. HUYU NI CERTIFIED KILAZA[/QUOTE][emoji1787]
 
I'll double dare to tell anyone who will advise anyone to invest in forex that he had not been part of it before,Matter of fact he/she might be ignorant to waste his/her money unreasonably.
 
You did a good choice to leave that gambling forex, Man. Because ain't nobody can make a living out of in a long time.
 
Brokers
Yaani umpe mtu peda yako aweke kwenye biashara hewa biashara ambayo haina mkataba kiasi kuwa hata ikitokea hasara huna cha kumfanya wala pa kumpeleka(mikono ya sheria)

Hiyo akili kweli??
 
FX ni utapeli
Ulitegemea hela uipate kiulaini imeshindikana ,ingekuwa Ni laini Lamborghini and Porsche zingejaa road mkuu. Only success rate is 5 out of 100 unadhani wanadanganya. Ukifungua website ya broker yyte Ile lazima wa declare esma agreement kuwa clients wao wengi almost 80+% are losing money. Do you thin are they lying you,for what? Sema wanaofaulu shuleni Ni wengi so cheki kulipo na success rate kubwa ingiamo ili uwe na uhakika wa kitoboa. This one you should have IRon balls, stressproof mind and easy fainted heart, highest resilience Ni ngumu kuzipata. Unadhani wangapi walitaka kuwa Kama Messi, Michael Jordan,ama Floyd Mayweather Ila hawakufikia huko mkuu baadaye wakaja kudai kuwa Ni utapeli. Wangapi walikosa kuoa waliyempenda wakashindwa sema wanatafuta namna fulani ya kukubaliana na ukweli unaouma. Mfano kwanza Malaya,kwanza ana tako liko upande Mara kikapu ama ngumi unaweza ukaumia na kuvunjika mgui. Ni namna ya our own brain or mental mechanism to confront the reality. It really hates the truth since the truth pains or cause emotions pain like how you step on nails erected upward or fire.
Basi naomba nikuache. Huwa naenjoi mno kuona mind zetu zinavyofanya Kazi.
 
 
Warren Buffett sio trader.

Ni investor. Ananunua hisa anakaa nazo miaka.

Trader ni yule ananunua na kuuuza ndani ya muda mfupi.
 
Warren Buffett sio trader.

Ni investor. Ananunua hisa anakaa nazo miaka.

Trader ni yule ananunua na kuuuza ndani ya muda mfupi.
Sawa ulichosema,swali kidogo mie niliyenunua hisa nikikaa nazo miaka kwa stockbroker, na mwingine akanunua hizohizo hisa kwa cfd broker, fanya hivi buffet akae nazo 10yrs namie Ni hold 10yrs Tena nikiwa napata rollover/swap which is positive.
Najua Kuna utofauti Ila Sasa tukija ku sell after 10yrs what's the difference will be in terms of money value gained?
Najifunza sio kupima ama kuonyeshana umwamba mie Ni kilaza tu so relax naomba kujifunza tokeaa kwako.
Natanguliza shukrani za dhati kwa mkuu Bavaria
 
Ukiachana na makosa mengine meengi ambayo yanaonesha mtoa mada hakuwa na hana uelewa na forex licha ya kuisoma for many years niliposoma hapa nilicheka sana aisee

πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½

"fungua real account katika mt4 yako fungua pair sawa na demo account ingia live market kisha jishuhudie mchezo hapo utashangaa sana"

☝🏾☝🏾☝🏾 Nani aje kumwambia kwamba demo accounts huwa hazina spreads wala deductions ambazo zipo kwenye real account 🀣🀣🀣 .

Kama unataka demo account yako iwe sawa na real account inakubidi ufungue demo account kwa brocker wako kisha ui limit .

Anyway

FOREX IS NOT FOR EVERY ONE MKUU KOMAA NA MAMBO ZINGINE
 
Warren Buffett sio trader.

Ni investor. Ananunua hisa anakaa nazo miaka.

Trader ni yule ananunua na kuuuza ndani ya muda mfupi.
☝️🀣 watu kujitia ujuaji aisee unajua kuna types ngapi za trader?? Hicho ulichokiongelea kuhusu warren unajua hata kwenye fx unaweza kukifanya ? Hebu soma kuhusu pending orders , holding n.k
 
Forex ni ngumu la sivyo kila mtu angekuwa millionaire, ila kwa wanaoelewa wanachofanya wanapiga pesa, ila kitu kimoja for sure forex is about patterns kama wewe ni mzuri wa kusoma chats na kutumia indicators unaweza kufanikiwa, na forex haina formula moja lazima uje na tricks zako ili ufanikiwe, mimi personally nafanya forex sana kwa zaidi ya miaka 10,nakumbuka on my early days of forex niliwahi kufanya forex bila kutumia indicators, nilikuwa natumia line zangu mwenyewe kwenye high na low za daily charts, nilitoka from 1000USD mpaka 46,000$ in less than 6 month then nikapoteza zote in one week, ila baada ya miaka mingi ikabidi nijifunze kutumia indicators ,charts and good money management, risk kidogo sasa lakini consistence ya kupiga pesa ipo and no pressure, kitu kingine baada ya miaka mingi naamini huwezi kumfundisha mtu forex beyond basics za buy and sells na kusoma charts, real money mtu atatengeneza mwenyewe kwa tricks zake baada ya kusota miaka mingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…