Kilichonifanya niachane na forex ni hiki hapa

Muadisie Bibi yako unaleta ushuzi humu
 
Ili uwe broker mambo yapi yanahitajika?

Je hata wew waweza kua broker?
 
Hujui chochote kuhusu Forex na hutaki kujifunza na tayari umeweka fensi kwenye akili yako!
HiIi ndo tatizo la Watanzania wengi!
Elimu yetu ni duni mno ndo maana vitu vingi hamvijui!
Utakuta mtu English haipandi na unakuta anataka afundishe watu Forex!
Utasikia " when the line " closs" badala ya Cross!
Ndo maana wengi mnaogopa Forex !
 
Mwanza watu wamelizwa leo
 
Forex ni scamming km scamming nyingine
Kisichowezekana kwako kwa wengine kinawezekana. Ukilijua hilo tu utakuwa huru maishani mwako lakini ukijiaminisha kwamba kwa vile wewe jambo limekunshinda basi wote litawashinda huo ni ubahau (utahila)! Keep this in your mind!
 
Mkuu bado una trade forex?.
 
Nikome nini mkuu? Hapa duniani hakuna utajiri wa haraka. Utajiri unachukua muda kutengenezwa. Utajiri wa express ni wa kulala na majoka kitanda kimoja tu na mambo mengine ya hovyo kama hayo!πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…