Kilichonifanya niachane na forex ni hiki hapa

Najua wote muwazima

Wacha nisonge kwa mada moja kwa moja. Nimewahi kuleta maandiko mbali mbali ya forex humu kwa siku za nyuma kipindi nikiwa naifanya nk

Kwa mara ya kwanza nimeijua mwaka 2013 japo nilianza rasmi kuisoma na kuifanya mwaka 2015, kwa uhalisia siwezi sema nimewahikuliwa nikijumlisha faida na kutoa hasara.

Kwa haraka haraka nilitumia kama laki na 80 kununua materials kwaajili yakujisomea, lakini pia ilinigarimu tsh laki mbili kuweza kuwapooza baadhi ya waalimu ambao sikuwaweka rasmi kama walimu wangu bali niliwatumia kwa muda tofauti tofauti kujifunza kwa njia ya maswali ili kuongeza uzoefu hivyo niliwapoza kidogo kidogo kama kulipia muda wao wanaojitolea kukaa pamoja namimi.

Hadi naingia mwaka 2019 naweza kusema nilikuwa ni miongoni mwa watu wanaoingiza faida fulani inayoonekana na kueleweka

Nilizingatia sana kujikita katika kuweza kuielewa forex katika theory na application yake.

Lengo ilikuwa mimi na forex iwe ndio kazi ya maisha yangu wala nisihangaike kufungua madarasa nk, zaidi zaidi tu niwe ni mtu wa kuwekeza katika kuchambua masoko nakutumbua pesa zangu(bata) na kuzidi kuwekeza katika miradi mbalimbali huku nikiwanyanyua ndugu zangu maana kupitia forex nilitaka hadi inapofika 2030 walau ukoo wangu niwe nimeutengenezea hata ma bilionea zaidi ya kumi.

Ila tatizo lilianzia hapa na ndio ambapo niliweza kusanuka mapema nisiendelee kupoteza muda

1.HAIJARISHI UMEISOMA FOREX KWA UNDANI KIASI GANI UMEFUNDISHWA NA WATU WAKUBWA KIASI GANI HAKUNA MPANGO SAHIHI / AU MKAKATI SAHIHI WA FAIDA KATIKA BIASHARA YAKO.

Yaani hapa ndio biashara ilipo lakini pia bado hauwezi kuwa na uhakika wasoko lako sababu lazima tu utaingia chakike vilevile, yaani kwa ufupi naweza sema hivi unaweza chambua soko lako na unafikia hatua ambayo hakuna mapungufu yoyote lakini bado unaweza ukapigwa vilevile na sio hapo tu ukisoma sana Forex inakusaidia KUPUNGUZA KIWANGO CHA HASARA NA KUBALANCE MTAJI WAKO ILA SIO UHAKIKA WA KUPATA FAIDA YAKO.

Hebu fikiria unafanya biashara lakini hauna hesababu yoyote ya uhakika wakuweza kuingiza faida yako hivi inakuja akilini kweli?

2. HAKUNA WAFANYABIASHARA WAKUBWA WANAOIONA FOREX KAMA BIASHARA YA FAIDA WALA MABENKI HAWAFANYI UTOPOLO HUU.
Kuna mtu aliwahi kusema humu jf kuwa forex ni biashara ambayo mabenki hawataki ujue ila ukweli naweza kusema hapa alituingiza chaka wote tulioamini hii kitu sababu hakuna kitu kama hicho ILA SASA Forex wanaoweza kupata faida ni wale wanao trade na mitaji mikubwa tena kupitia mzunguko halisi wa pesa sio hizo virtual money sijui uweke kwa broker nk

Ndio maana mtu akisoma forex akielewa vizuri anakimbilia kuwa mwalimu ili awapige wanafunzi na kubalance hasara zake akijitahidi kukuza mtaji ukawa mkubwa anaamua kuwa broker yaani hataki yeye kutrade ila anataka wewe utrade mfano mzuri hapa ndio Sir Jeff aka Ontorio sijui nadhani mnamjua.

Sasa biashara ambayo inakimbiwa na wafanya biashara wakubwa na mtu anakushawishi wewe ndio utrade kwake basi hapo hakuna kitu cha ukweli ni ubadhilifu tu.

Sasa mwisho wa siku nikaona FOREX ni kitu kimekuja kutufanya vijana tupoteze muda mwingi kujikita katika virtual money na tuhangaike kupoteza muda katika mambo yasiyo ya msingi

Unaweza kulamba bingo ila haina tofauti na tatu mzuka kwakweli, zaidi ya yote zile fundamental zote huwezi kuuona mfumo wake kwa uwazi, na zaidi ya hapo hakuna mtu anayejua ile pesa inamilikiwa na nani sababu ni virtual money wala sio real money ndio maana unapitia mabroker ambao hata hawahusiani kabisa na uhalisia

fungua real account katika mt4 yako fungua pair sawa na demo account ingia live market kisha jishuhudie mchezo hapo utashangaa sana

Naenda kula na kuoga nitarudi kuendelea kutiririka mambo mengine ya msingi nk

UPDATES

Naendelea tena na uzi.
Kuna jambo moja muhimu sana liko katika msemo unaosema hivi "Always a House win"

Huu msemo hutumika sana katika vitu ambavyo vinafaida kubwa zaidi ya upande mmoja, mfano mzuri nitakaouweka hapa ni yale mambo ya betting.

Jiulize swali hili kwanini sportpesa wao wanamiliki betting ikiwa wanaweza kuwa na watu wazuri wanaojua namna ya kupangilia alama za ushindi(odds) na wakabeti kwa makampuni makubwa mengine wakapata mihela mingi?

Sasa ukijiuliza hilo utajua yakuwa huko hakuna uhakika wa ushindi sasa betting zote wanajiweka safe sade wanakaa upande salama wapo winning house huko wanapiga pesa kuliko wewe unayeitamani ile mil 500 ya jackpot.

Hebu fikiria mtu anachukua asilimia 99 ya faida halafu ninyi mnabakiwa na asilimia 1 tu.

Ndio maana katika forex pia mtu akisoma nakuielewa vyema na anahitaji kutengeneza pesa huwa siku zote anaanza nayeye kukimbilia safe side anajipeleka katika wining house ili awe salama.

Kuna maswali haya hapa nayewa yatakusaidia kujua nini kinaendelea ukiweza kuyajibu kiufasaha

1. Kwanini unauza pips ikiwa wewe ni mtu wa faida?
2. Kwanini unafungua darasa kula laki laki za watu ikiwa unamake kuzidi hiyo ada?
3. Kwanini unajiweka kuwa broker uanze kula hela za matrder wengine ambapo unaweza kumake pesa ndefu kuzidi hiyo ya ubroker?
4. Yule broker wetu yeye anasimama baina ya trader na nani? huyo aliye juu ya broker ni asasi ipi yenye makao yake wapi inasimamiwa na nani? tunaweza kuingia hata wikpedia tukapata habari zake?

maswali machache sana hayo hilo la mwisho linahitaji majibu yaloshiba

Neno langu sio sheria hii ni kwa mtazamo wangu ukiona inafaida unaweza komaa nayo tu ila kumbuka
"ALWAYS A HOUSE WINI"
tchao.

Updates No 2 Sep 1

NImekuja kuongeza updates nyingine hapa na ni muhimu mno sana, kuna watu wamenipinga sana lakini ni vile tunatofautiana uelewa tu wa mambo,

Mimi nilijua jambo moja hili hapa kwa upande wangu ili niweze kuifanya vyema forex nikuweza kuelewa mfumo mzima ikiwa ni jumla yakujibu maswali yote yasiyokuwa na majibu hii ingenifanya nichezeshe forex kama game tu na ningemake faida kubwa sana.

Hili jambo hapa chini linaweza kukupa mtazamo mpya kabisa katika forex kiasi kwamba ukipata majibu yakukuridhisha basi yawe mwangaza kwako kupata faida ila yasipokupa faida jua hayalingani kabisa.

Fikiria leo USD inathamani ya Tsh.2300/= na wakati huohuo pia Euro Inathamani ya Tsh.2500/= ukiingia katika soko la dunia ama katika mabank yote duniani utakutana na rate ambayo inakwenda sawa kabisa.

Lakini katika forex inakuwa nikwamba thamani ya fedha inaweza panda dakika tano zijazo na dakika 20 zijazo ikashuka na lisaa lijalo mbele ikapanda tena nk japo katika sehemu zile zinazoizungusha hiyo fedha hakuna hata mabadiriko kama hayo.

Sasa jiulize zaidi inakuwaje fedha inayorun katika biashara za ulimwengu ndani ya forex inapata nguvu kuzidi pesa nyingine ila katika uhalisia ukizunguka katika mabank hata ukichungulia soko la dunia haukutani na ushubwada kama huo.

tukutane next episode tena
Muadisie Bibi yako unaleta ushuzi humu
 
Yaani huendani kabisa na jina lako la elimu kwanza elimu ya mtoto wa darasa la kwanza inatosha kujibu swali lako na ukaelewa

diamond yeye ameona anapata faida kutanua wigo wake wa biashara na kuongeza thamani amejua anapaswa afungue label yake mwenyewe.
sasa hii ni biashara ambayo iko wazi kabisa unaweza maxmize profit vile vyovyote utakavyo.

sasa ukirudi katika forex hakuna kitu kama hicho huwezi maxmize profit hata siku moja zaidi yakucheza na joker tu inakuwa jackpot, pia broker yeye sio trader ananufaika na zile pesa ambazo wanotrade kwake wanaliwa.
Forex ni no matter how knowledgeable you are bado unaambiwa sio guarantee yakumake profit,

nakuuliza swali broker yupo kwa niaba ya nani? huyo anayekuwa juu ya broker anatambulika kama nani? je unaweza enda ukamkuta makao makuu yake ukamuona? wanamake vipi profit hao walio juu?

wewe ulipokuwa unajifunza forex ulilenga kupata faida but wengine tulilenga kuelewa mfumo ili tujue tunatrade vipi akili mbili tofauti kabisa
Ili uwe broker mambo yapi yanahitajika?

Je hata wew waweza kua broker?
 
Najua wote muwazima

Wacha nisonge kwa mada moja kwa moja. Nimewahi kuleta maandiko mbali mbali ya forex humu kwa siku za nyuma kipindi nikiwa naifanya nk

Kwa mara ya kwanza nimeijua mwaka 2013 japo nilianza rasmi kuisoma na kuifanya mwaka 2015, kwa uhalisia siwezi sema nimewahikuliwa nikijumlisha faida na kutoa hasara.

Kwa haraka haraka nilitumia kama laki na 80 kununua materials kwaajili yakujisomea, lakini pia ilinigarimu tsh laki mbili kuweza kuwapooza baadhi ya waalimu ambao sikuwaweka rasmi kama walimu wangu bali niliwatumia kwa muda tofauti tofauti kujifunza kwa njia ya maswali ili kuongeza uzoefu hivyo niliwapoza kidogo kidogo kama kulipia muda wao wanaojitolea kukaa pamoja namimi.

Hadi naingia mwaka 2019 naweza kusema nilikuwa ni miongoni mwa watu wanaoingiza faida fulani inayoonekana na kueleweka

Nilizingatia sana kujikita katika kuweza kuielewa forex katika theory na application yake.

Lengo ilikuwa mimi na forex iwe ndio kazi ya maisha yangu wala nisihangaike kufungua madarasa nk, zaidi zaidi tu niwe ni mtu wa kuwekeza katika kuchambua masoko nakutumbua pesa zangu(bata) na kuzidi kuwekeza katika miradi mbalimbali huku nikiwanyanyua ndugu zangu maana kupitia forex nilitaka hadi inapofika 2030 walau ukoo wangu niwe nimeutengenezea hata ma bilionea zaidi ya kumi.

Ila tatizo lilianzia hapa na ndio ambapo niliweza kusanuka mapema nisiendelee kupoteza muda

1.HAIJARISHI UMEISOMA FOREX KWA UNDANI KIASI GANI UMEFUNDISHWA NA WATU WAKUBWA KIASI GANI HAKUNA MPANGO SAHIHI / AU MKAKATI SAHIHI WA FAIDA KATIKA BIASHARA YAKO.

Yaani hapa ndio biashara ilipo lakini pia bado hauwezi kuwa na uhakika wasoko lako sababu lazima tu utaingia chakike vilevile, yaani kwa ufupi naweza sema hivi unaweza chambua soko lako na unafikia hatua ambayo hakuna mapungufu yoyote lakini bado unaweza ukapigwa vilevile na sio hapo tu ukisoma sana Forex inakusaidia KUPUNGUZA KIWANGO CHA HASARA NA KUBALANCE MTAJI WAKO ILA SIO UHAKIKA WA KUPATA FAIDA YAKO.

Hebu fikiria unafanya biashara lakini hauna hesababu yoyote ya uhakika wakuweza kuingiza faida yako hivi inakuja akilini kweli?

2. HAKUNA WAFANYABIASHARA WAKUBWA WANAOIONA FOREX KAMA BIASHARA YA FAIDA WALA MABENKI HAWAFANYI UTOPOLO HUU.
Kuna mtu aliwahi kusema humu jf kuwa forex ni biashara ambayo mabenki hawataki ujue ila ukweli naweza kusema hapa alituingiza chaka wote tulioamini hii kitu sababu hakuna kitu kama hicho ILA SASA Forex wanaoweza kupata faida ni wale wanao trade na mitaji mikubwa tena kupitia mzunguko halisi wa pesa sio hizo virtual money sijui uweke kwa broker nk

Ndio maana mtu akisoma forex akielewa vizuri anakimbilia kuwa mwalimu ili awapige wanafunzi na kubalance hasara zake akijitahidi kukuza mtaji ukawa mkubwa anaamua kuwa broker yaani hataki yeye kutrade ila anataka wewe utrade mfano mzuri hapa ndio Sir Jeff aka Ontorio sijui nadhani mnamjua.

Sasa biashara ambayo inakimbiwa na wafanya biashara wakubwa na mtu anakushawishi wewe ndio utrade kwake basi hapo hakuna kitu cha ukweli ni ubadhilifu tu.

Sasa mwisho wa siku nikaona FOREX ni kitu kimekuja kutufanya vijana tupoteze muda mwingi kujikita katika virtual money na tuhangaike kupoteza muda katika mambo yasiyo ya msingi

Unaweza kulamba bingo ila haina tofauti na tatu mzuka kwakweli, zaidi ya yote zile fundamental zote huwezi kuuona mfumo wake kwa uwazi, na zaidi ya hapo hakuna mtu anayejua ile pesa inamilikiwa na nani sababu ni virtual money wala sio real money ndio maana unapitia mabroker ambao hata hawahusiani kabisa na uhalisia

fungua real account katika mt4 yako fungua pair sawa na demo account ingia live market kisha jishuhudie mchezo hapo utashangaa sana

Naenda kula na kuoga nitarudi kuendelea kutiririka mambo mengine ya msingi nk

UPDATES

Naendelea tena na uzi.
Kuna jambo moja muhimu sana liko katika msemo unaosema hivi "Always a House win"

Huu msemo hutumika sana katika vitu ambavyo vinafaida kubwa zaidi ya upande mmoja, mfano mzuri nitakaouweka hapa ni yale mambo ya betting.

Jiulize swali hili kwanini sportpesa wao wanamiliki betting ikiwa wanaweza kuwa na watu wazuri wanaojua namna ya kupangilia alama za ushindi(odds) na wakabeti kwa makampuni makubwa mengine wakapata mihela mingi?

Sasa ukijiuliza hilo utajua yakuwa huko hakuna uhakika wa ushindi sasa betting zote wanajiweka safe sade wanakaa upande salama wapo winning house huko wanapiga pesa kuliko wewe unayeitamani ile mil 500 ya jackpot.

Hebu fikiria mtu anachukua asilimia 99 ya faida halafu ninyi mnabakiwa na asilimia 1 tu.

Ndio maana katika forex pia mtu akisoma nakuielewa vyema na anahitaji kutengeneza pesa huwa siku zote anaanza nayeye kukimbilia safe side anajipeleka katika wining house ili awe salama.

Kuna maswali haya hapa nayewa yatakusaidia kujua nini kinaendelea ukiweza kuyajibu kiufasaha

1. Kwanini unauza pips ikiwa wewe ni mtu wa faida?
2. Kwanini unafungua darasa kula laki laki za watu ikiwa unamake kuzidi hiyo ada?
3. Kwanini unajiweka kuwa broker uanze kula hela za matrder wengine ambapo unaweza kumake pesa ndefu kuzidi hiyo ya ubroker?
4. Yule broker wetu yeye anasimama baina ya trader na nani? huyo aliye juu ya broker ni asasi ipi yenye makao yake wapi inasimamiwa na nani? tunaweza kuingia hata wikpedia tukapata habari zake?

maswali machache sana hayo hilo la mwisho linahitaji majibu yaloshiba

Neno langu sio sheria hii ni kwa mtazamo wangu ukiona inafaida unaweza komaa nayo tu ila kumbuka
"ALWAYS A HOUSE WINI"
tchao.

Updates No 2 Sep 1

NImekuja kuongeza updates nyingine hapa na ni muhimu mno sana, kuna watu wamenipinga sana lakini ni vile tunatofautiana uelewa tu wa mambo,

Mimi nilijua jambo moja hili hapa kwa upande wangu ili niweze kuifanya vyema forex nikuweza kuelewa mfumo mzima ikiwa ni jumla yakujibu maswali yote yasiyokuwa na majibu hii ingenifanya nichezeshe forex kama game tu na ningemake faida kubwa sana.

Hili jambo hapa chini linaweza kukupa mtazamo mpya kabisa katika forex kiasi kwamba ukipata majibu yakukuridhisha basi yawe mwangaza kwako kupata faida ila yasipokupa faida jua hayalingani kabisa.

Fikiria leo USD inathamani ya Tsh.2300/= na wakati huohuo pia Euro Inathamani ya Tsh.2500/= ukiingia katika soko la dunia ama katika mabank yote duniani utakutana na rate ambayo inakwenda sawa kabisa.

Lakini katika forex inakuwa nikwamba thamani ya fedha inaweza panda dakika tano zijazo na dakika 20 zijazo ikashuka na lisaa lijalo mbele ikapanda tena nk japo katika sehemu zile zinazoizungusha hiyo fedha hakuna hata mabadiriko kama hayo.

Sasa jiulize zaidi inakuwaje fedha inayorun katika biashara za ulimwengu ndani ya forex inapata nguvu kuzidi pesa nyingine ila katika uhalisia ukizunguka katika mabank hata ukichungulia soko la dunia haukutani na ushubwada kama huo.

tukutane next episode tena
Hujui chochote kuhusu Forex na hutaki kujifunza na tayari umeweka fensi kwenye akili yako!
HiIi ndo tatizo la Watanzania wengi!
Elimu yetu ni duni mno ndo maana vitu vingi hamvijui!
Utakuta mtu English haipandi na unakuta anataka afundishe watu Forex!
Utasikia " when the line " closs" badala ya Cross!
Ndo maana wengi mnaogopa Forex !
 
Mwanza watu wamelizwa leo
 
Forex ni scamming km scamming nyingine
Kisichowezekana kwako kwa wengine kinawezekana. Ukilijua hilo tu utakuwa huru maishani mwako lakini ukijiaminisha kwamba kwa vile wewe jambo limekunshinda basi wote litawashinda huo ni ubahau (utahila)! Keep this in your mind!
 
Mkuu bado una trade forex?.
 
Nikome nini mkuu? Hapa duniani hakuna utajiri wa haraka. Utajiri unachukua muda kutengenezwa. Utajiri wa express ni wa kulala na majoka kitanda kimoja tu na mambo mengine ya hovyo kama hayo!😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom