Kilichonifanya niichukie udsm

E bwana ada za master ndo nilichoka kabisa nilipoambiwa.. Wamepandisha ada kwa zaidi ya asilimia 100..!? but nawaamini sana, Nashukuru Mungu yangu niliimaliza kipindi hicho cha m3. utadhani wanataka watu waache kusoma
 
Last edited by a moderator:
Hapa umeharibu arifu....
Hupaswi kutukana,jibu post za wale wenye kukuonyesha nia ya kukusaidia hii ndiyo jf. Baba V....sijakupata uzuri mjumbe.

Unajua sikujua kama miaka hii UDSM wanatoa Diploma na Certificate pia.. si unajua tena ni miaka mingi tangu tupite kule.. asingekuwa Mkoroshokigoli kunielewesha I would have still be wandering in the past..
 
Last edited by a moderator:
E bwana ada za master ndo nilichoka kabisa nilipoambiwa.. Wamepandisha ada kwa zaidi ya asilimia 100..!? but nawaamini sana, Nashukuru Mungu yangu niliimaliza kipindi hicho cha m3. utadhani wanataka watu waache kusoma
nahic wameboresha labda walimu wapya, new facilities na aina ya ufundishaji ila kizur kina gharama cku ya cku unapata elim ya uhakika
 
E bwana ada za master ndo nilichoka kabisa nilipoambiwa.. Wamepandisha ada kwa zaidi ya asilimia 100..!? but nawaamini sana, Nashukuru Mungu yangu niliimaliza kipindi hicho cha m3. utadhani wanataka watu waache kusoma

Nafikiri wanapunguza mlundikano wa Masters Mtaani.
 
mimi nitakudinya utapike nyongo,ushawahi toka malengelenge huko kwa kunyea? Uhalo kweli wewe unaleta cztak mbichi hizi hapa.
 
E bwana ada za master ndo nilichoka kabisa nilipoambiwa.. Wamepandisha ada kwa zaidi ya asilimia 100..!? but nawaamini sana, Nashukuru Mungu yangu niliimaliza kipindi hicho cha m3. utadhani wanataka watu waache kusoma

kaka acha tu,wakat naomba kwenye form ilikua inasoma mil 3,waliponipa admission ikaja na feese structure mpya,nikapagawa,napaswa lipa 6.3 mil,
VIGEUGEU KAMA POLITICIANS,
 
yes hiyo point, lakini iyo ada ya udsm iko chini kuliko maharage ya soya ya mzumbe hahahaha!

hahahaa,hivi kwanini masters ya mzumbe inapondwa sana,,,,???
Cc Baba V tusaidie kaka,maana umelonga hapa kuwa udsm wapo vizuri
 
dah parefu xana ila komaa ivo ivo upate gamba la udsm, hadi phd ipo tena mzuka balaa hawababaishi una2nukiwa u-prof. Frsh 2
 
Pia nani naichukia sana udsn tena naiichukiia kupita maelezo udsm nichuo kilichodhalisha mafisadi,watendaji na washauri wasio weka maslahi ya taifa mbele leo hii watendaji wandamizi na viongozi waandamizi wote wamevunywa udsm na ndio wameifikisha nchi hapa tulipo, shame on you udsm alumni. nawachukia sana toka moyoni mwangu nchii yangu inangamia kwa ajili yenu.pongezi kwa chuo changu DIT hakika umenifanya kuwa injinia makini,kiutendaji live long life DIT Alumni, dumu milele daima Dar-es salaam Inst of Technology
 
udsm kauli, ufisadi na rushwa ndo kinaipa sifa mbaya
 
bila shaka ulipo kuwa unapost nyuma yako kulikuwa na PAIPU IKIKUPEKECHA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…