Mwandwanga
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,059
- 1,572
asante mkuu, cna mda mref toka nimejiunga jf
Heshimu kila mtu ila usiruhusu mtu kuuchezea UTU WAKO.
Kukaa kimya aongeapo mjinga ni jibu MURUA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante mkuu, cna mda mref toka nimejiunga jf
asante mkuu kweli humu ni GTHeshimu kila mtu ila usiruhusu mtu kuuchezea UTU WAKO.
Kukaa kimya aongeapo mjinga ni jibu MURUA.
bro Baba V udsm kwa sasa pia pesa wanaangalia,maana hizo ada ya masters senate imepitisha hazikamatiki,kuna kozi pale mil 8,kozi ya ada ndogo ni mil 4,lakin pamoja na hayo kwa dip wanatoa vizuri sana,kwa wahitimu wa cultural heritage ndo hao wanaokwenda kwenye majumba ya makumbusho,pia hata wahitim wa kompyuta naambiwa ni wazuri,
sasa unaweza sambaza info
Hapa umeharibu arifu....
Hupaswi kutukana,jibu post za wale wenye kukuonyesha nia ya kukusaidia hii ndiyo jf. Baba V....sijakupata uzuri mjumbe.
nahic wameboresha labda walimu wapya, new facilities na aina ya ufundishaji ila kizur kina gharama cku ya cku unapata elim ya uhakikaE bwana ada za master ndo nilichoka kabisa nilipoambiwa.. Wamepandisha ada kwa zaidi ya asilimia 100..!? but nawaamini sana, Nashukuru Mungu yangu niliimaliza kipindi hicho cha m3. utadhani wanataka watu waache kusoma
E bwana ada za master ndo nilichoka kabisa nilipoambiwa.. Wamepandisha ada kwa zaidi ya asilimia 100..!? but nawaamini sana, Nashukuru Mungu yangu niliimaliza kipindi hicho cha m3. utadhani wanataka watu waache kusoma
nashukuru kwa kuniongezea post kwenye mada yangu, manake wa2 kama nyinyi mna ngale mnataka kuchedwa hata ilo jina kama shoga we wanakukojolea pole sana cyo kosa lako wewe, nafurah xana unavonidisi na wala unitishi 2endelee we shoga alaf cjacheda mashoga kitambo xana itabdi nikuweke kwenye list
Heshimu kila mtu ila usiruhusu mtu kuuchezea UTU WAKO.
Kukaa kimya aongeapo mjinga ni jibu MURUA.
E bwana ada za master ndo nilichoka kabisa nilipoambiwa.. Wamepandisha ada kwa zaidi ya asilimia 100..!? but nawaamini sana, Nashukuru Mungu yangu niliimaliza kipindi hicho cha m3. utadhani wanataka watu waache kusoma
Nafikiri wanapunguza mlundikano wa Masters Mtaani.
yes hiyo point, lakini iyo ada ya udsm iko chini kuliko maharage ya soya ya mzumbe hahahaha!Nafikiri wanapunguza mlundikano wa Masters Mtaani.
yes hiyo point, lakini iyo ada ya udsm iko chini kuliko maharage ya soya ya mzumbe hahahaha!
yes hiyo point, lakini iyo ada ya udsm iko chini kuliko maharage ya soya ya mzumbe hahahaha!
dah parefu xana ila komaa ivo ivo upate gamba la udsm, hadi phd ipo tena mzuka balaa hawababaishi una2nukiwa u-prof. Frsh 2kaka acha tu,wakat naomba kwenye form ilikua inasoma mil 3,waliponipa admission ikaja na feese structure mpya,nikapagawa,napaswa lipa 6.3 mil,
VIGEUGEU KAMA POLITICIANS,
udsm kauli, ufisadi na rushwa ndo kinaipa sifa mbayaPia nani naichukia sana udsn tena naiichukiia kupita maelezo udsm nichuo kilichodhalisha mafisadi,watendaji na washauri wasio weka maslahi ya taifa mbele leo hii watendaji wandamizi na viongozi waandamizi wote wamevunywa udsm na ndio wameifikisha nchi hapa tulipo, shame on you udsm allumic. nawachukia sana toka moyoni mwangu nchii yangu inangamia kwa ajili yenu.pongezi kwa chuo changu DIT hakika umenifanya kuwa injinia makini,kiutendaji live long life DIT Allumic, dumu milele daima Dar-es salaam Inst of Technology
naeza nkaja hapo dit kufanya bachelor yanguudsm kauli, ufisadi na rushwa ndo kinaipa sifa mbaya
naeza nkaja hapo dit kufanya bachelor yangu
Pia nani naichukia sana udsn tena naiichukiia kupita maelezo udsm nichuo kilichodhalisha mafisadi,watendaji na washauri wasio weka maslahi ya taifa mbele leo hii watendaji wandamizi na viongozi waandamizi wote wamevunywa udsm na ndio wameifikisha nchi hapa tulipo, shame on you udsm alumni. nawachukia sana toka moyoni mwangu nchii yangu inangamia kwa ajili yenu.pongezi kwa chuo changu DIT hakika umenifanya kuwa injinia makini,kiutendaji live long life DIT Alumni, dumu milele daima Dar-es salaam Inst of Technology
bila shaka ulipo kuwa unapost nyuma yako kulikuwa na PAIPU IKIKUPEKECHA?