Kilichonifanya niichukie udsm

Kilichonifanya niichukie udsm

bro Baba V udsm kwa sasa pia pesa wanaangalia,maana hizo ada ya masters senate imepitisha hazikamatiki,kuna kozi pale mil 8,kozi ya ada ndogo ni mil 4,lakin pamoja na hayo kwa dip wanatoa vizuri sana,kwa wahitimu wa cultural heritage ndo hao wanaokwenda kwenye majumba ya makumbusho,pia hata wahitim wa kompyuta naambiwa ni wazuri,
sasa unaweza sambaza info

E bwana ada za master ndo nilichoka kabisa nilipoambiwa.. Wamepandisha ada kwa zaidi ya asilimia 100..!? but nawaamini sana, Nashukuru Mungu yangu niliimaliza kipindi hicho cha m3. utadhani wanataka watu waache kusoma
 
Last edited by a moderator:
Hapa umeharibu arifu....
Hupaswi kutukana,jibu post za wale wenye kukuonyesha nia ya kukusaidia hii ndiyo jf. Baba V....sijakupata uzuri mjumbe.

Unajua sikujua kama miaka hii UDSM wanatoa Diploma na Certificate pia.. si unajua tena ni miaka mingi tangu tupite kule.. asingekuwa Mkoroshokigoli kunielewesha I would have still be wandering in the past..
 
Last edited by a moderator:
E bwana ada za master ndo nilichoka kabisa nilipoambiwa.. Wamepandisha ada kwa zaidi ya asilimia 100..!? but nawaamini sana, Nashukuru Mungu yangu niliimaliza kipindi hicho cha m3. utadhani wanataka watu waache kusoma
nahic wameboresha labda walimu wapya, new facilities na aina ya ufundishaji ila kizur kina gharama cku ya cku unapata elim ya uhakika
 
E bwana ada za master ndo nilichoka kabisa nilipoambiwa.. Wamepandisha ada kwa zaidi ya asilimia 100..!? but nawaamini sana, Nashukuru Mungu yangu niliimaliza kipindi hicho cha m3. utadhani wanataka watu waache kusoma

Nafikiri wanapunguza mlundikano wa Masters Mtaani.
 
nashukuru kwa kuniongezea post kwenye mada yangu, manake wa2 kama nyinyi mna ngale mnataka kuchedwa hata ilo jina kama shoga we wanakukojolea pole sana cyo kosa lako wewe, nafurah xana unavonidisi na wala unitishi 2endelee we shoga alaf cjacheda mashoga kitambo xana itabdi nikuweke kwenye list

mimi nitakudinya utapike nyongo,ushawahi toka malengelenge huko kwa kunyea? Uhalo kweli wewe unaleta cztak mbichi hizi hapa.
 
E bwana ada za master ndo nilichoka kabisa nilipoambiwa.. Wamepandisha ada kwa zaidi ya asilimia 100..!? but nawaamini sana, Nashukuru Mungu yangu niliimaliza kipindi hicho cha m3. utadhani wanataka watu waache kusoma

kaka acha tu,wakat naomba kwenye form ilikua inasoma mil 3,waliponipa admission ikaja na feese structure mpya,nikapagawa,napaswa lipa 6.3 mil,
VIGEUGEU KAMA POLITICIANS,
 
yes hiyo point, lakini iyo ada ya udsm iko chini kuliko maharage ya soya ya mzumbe hahahaha!

hahahaa,hivi kwanini masters ya mzumbe inapondwa sana,,,,???
Cc Baba V tusaidie kaka,maana umelonga hapa kuwa udsm wapo vizuri
 
dah parefu xana ila komaa ivo ivo upate gamba la udsm, hadi phd ipo tena mzuka balaa hawababaishi una2nukiwa u-prof. Frsh 2
 
Pia nani naichukia sana udsn tena naiichukiia kupita maelezo udsm nichuo kilichodhalisha mafisadi,watendaji na washauri wasio weka maslahi ya taifa mbele leo hii watendaji wandamizi na viongozi waandamizi wote wamevunywa udsm na ndio wameifikisha nchi hapa tulipo, shame on you udsm alumni. nawachukia sana toka moyoni mwangu nchii yangu inangamia kwa ajili yenu.pongezi kwa chuo changu DIT hakika umenifanya kuwa injinia makini,kiutendaji live long life DIT Alumni, dumu milele daima Dar-es salaam Inst of Technology
 
Pia nani naichukia sana udsn tena naiichukiia kupita maelezo udsm nichuo kilichodhalisha mafisadi,watendaji na washauri wasio weka maslahi ya taifa mbele leo hii watendaji wandamizi na viongozi waandamizi wote wamevunywa udsm na ndio wameifikisha nchi hapa tulipo, shame on you udsm allumic. nawachukia sana toka moyoni mwangu nchii yangu inangamia kwa ajili yenu.pongezi kwa chuo changu DIT hakika umenifanya kuwa injinia makini,kiutendaji live long life DIT Allumic, dumu milele daima Dar-es salaam Inst of Technology
udsm kauli, ufisadi na rushwa ndo kinaipa sifa mbaya
 
Pia nani naichukia sana udsn tena naiichukiia kupita maelezo udsm nichuo kilichodhalisha mafisadi,watendaji na washauri wasio weka maslahi ya taifa mbele leo hii watendaji wandamizi na viongozi waandamizi wote wamevunywa udsm na ndio wameifikisha nchi hapa tulipo, shame on you udsm alumni. nawachukia sana toka moyoni mwangu nchii yangu inangamia kwa ajili yenu.pongezi kwa chuo changu DIT hakika umenifanya kuwa injinia makini,kiutendaji live long life DIT Alumni, dumu milele daima Dar-es salaam Inst of Technology

bila shaka ulipo kuwa unapost nyuma yako kulikuwa na PAIPU IKIKUPEKECHA?
 
Back
Top Bottom