Kilichonikuta baada ya kumtafuta ex wangu

Sasa na yeye kama aliachwa,af leo anapiga simu,huko alikoenda haolewi? Au hakolei! Akifukuzwa,eti wanaume wana roho mbaya. Hapo kanona karanga anataka aonje sasa
Jamaa nae mchokozi alishajua mwenzake ameolewa ya nini kumwambia maneno ya kujibebisha?
Wengine kwenye ndoa zao ni mchakamchaka hakuna kubebishana sasa akitokea mtu wa kumwambia maneno matamu kushawishika ni rahisi.
 
Jamaa nae mchokozi alishajja mwenzake ameolewa ya nini kumwambia maneno ya kujibebisha?
Wengine kwenye ndoa zao ni mchakamchaka hakuna kubebishana sasa akitokea mtu wa kumwambia maneno matamu kushawishika ni rahisi.
Enheeee hapo sasa. Wanaenda,af badae,mfagio. Kwa hiyo amebebishwa akaona bora nirudi zangu huko walikonipiga miti kwa chips! Yaani kuna kiumbe ameumbwa kushawiahika? Kama hivo sitokaa nioe aise
 
Binadamu ameumbwa kushawishika.
Si kweli. Sema wanawake hawajui wanachokitaka. Wengine wakifika huko wanaanza,mara ohhhh kumbe Ex wangu alikua fundi,mara ohhh nilikuwa nikilala tu napelekwa kula mchemsho hapa ni dagaa tu. Dadeki zao. Waache waolewe. Hakuna namna
 
'Usipende kumfanyia mwenzio kitu usichopenda ww kufanyiwa"
Kumbuka na mkeo mtarajiwa ni x wa fulani huko je siku ukigundua wanapasha utajiskiaje? Staki unijibu endelea na mambo yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…