Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa nae mchokozi alishajua mwenzake ameolewa ya nini kumwambia maneno ya kujibebisha?Sasa na yeye kama aliachwa,af leo anapiga simu,huko alikoenda haolewi? Au hakolei! Akifukuzwa,eti wanaume wana roho mbaya. Hapo kanona karanga anataka aonje sasa
Enheeee hapo sasa. Wanaenda,af badae,mfagio. Kwa hiyo amebebishwa akaona bora nirudi zangu huko walikonipiga miti kwa chips! Yaani kuna kiumbe ameumbwa kushawiahika? Kama hivo sitokaa nioe aiseJamaa nae mchokozi alishajja mwenzake ameolewa ya nini kumwambia maneno ya kujibebisha?
Wengine kwenye ndoa zao ni mchakamchaka hakuna kubebishana sasa akitokea mtu wa kumwambia maneno matamu kushawishika ni rahisi.
Binadamu ameumbwa kushawishika.Enheeee hapo sasa. Wanaenda,af badae,mfagio. Kwa hiyo amebebishwa akaona bora nirudi zangu huko walikonipiga miti kwa chips! Yaani kuna kiumbe ameumbwa kushawiahika? Kama hivo sitokaa nioe aise
Na kusahau pia☺️Binadamu ameumbwa kushawishika.
AhaaUmeshaachana nae, kwanini ulimtafuta?
Mimi nikitafutwa na Ex ni mwendo wa block tu.
Si kweli. Sema wanawake hawajui wanachokitaka. Wengine wakifika huko wanaanza,mara ohhhh kumbe Ex wangu alikua fundi,mara ohhh nilikuwa nikilala tu napelekwa kula mchemsho hapa ni dagaa tu. Dadeki zao. Waache waolewe. Hakuna namnaBinadamu ameumbwa kushawishika.
Sasa unaonaje umuache bro hapo uje hapa! Ntakuwa nakununulia juice ya maharage mimi basiBinadamu ameumbwa kushawishika.
Nionyeshe mwanaume ambae anajua anachokitakaSi kweli. Sema wanawake hawajui wanachokitaka. Wengine wakifika huko wanaanza,mara ohhhh kumbe Ex wangu alikua fundi,mara ohhh nilikuwa nikilala tu napelekwa kula mchemsho hapa ni dagaa tu. Dadeki zao. Waache waolewe. Hakuna namna
Kirahisi hivyo😀Sasa unaonaje umuache bro hapo uje hapa! Ntakuwa nakununulia juice ya maharage mimi basi
'Usipende kumfanyia mwenzio kitu usichopenda ww kufanyiwa"Wakuu mulibwanji?
Huku mambo ni mwagalayoooo.
Leo baada ya miaka 5 ya kuachana kwa matatzo na mtoto wa kinyiramba nimemtext leo kwa mara ya kwanza.
Nilianza kwa kumtext kwamba if i made u cry am sorry akajbu kwa kuuliza we nani nikajtambulisha rasmi tukaanza kuchart akanambia ameolewa yupo moshi. Na ana watoto wawili, akauliza khs mimi nikamjbu sjaoa na sina mpango huo kwasasa.
Kilichofata akaanza lawama nyng sn wakati tuko wote mambo mabaya nliyomfanyia mpk leo yanamuuma sn mi skuwa na maneno mengi zaidi ya kumjbu am sorry na kukubaliana na lawama zote na kustahili kuhukumiwa.
Akanambia ameshanisamehe niwe na amani tu. Nikamshukuru na kumtakia kheri yeye na familia yake ksha nikamwambia ninasktika na kuumia sana kwani.
Amekumbushia mambo yaliyopta wkt mi nimeamua tu leo kumsalimia. Akajbu hapana ye kaonyesha tu hisia zake vile aliumia nikamjbu sawa na nashukuru sn, nikatulia nikashangaa amepga simu nlipopokea tukasalimiana tu na nikamuliza nambie sasa.
Akasema hamna ktu mi nkamwambia basi takucol tommorow nipe muda mumeo aspokuwepo akajbu muda mzuri mchana nikamuaga.
Wakuu huyu ex inaelekea bdo ananihtaji au najdanganya tu?
NB: SIWEZI TEMBEA NAYE TENA NI MKE WA MTU SASA.
Kwanza mi nilipokuona tu,nikajua unacho. Lakini sasa! Balaa. Nikajua hapa,ndo basi tenaNionyeshe mwanaume ambae anajua anachokitaka
Sasa si umesema umeumbwa kushawishika! Basi kama hivo,unadhalauKirahisi hivyo😀
Uliponiona wapi?Kwanza mi nilipokuona tu,nikajua unacho. Lakini sasa! Balaa. Nikajua hapa,ndo basi tena
Ndo upambane kunishawishi sasa, bado hujafanikiwaSasa si umesema umeumbwa kushawishika! Basi kama hivo,unadhalau
Matapishi uliyoyatapika mwenyewe unaanza kuyarudisha mdomoni? 🤮Wakuu huyu ex inaelekea bdo ananihtaji au najdanganya tu?