Kilichonikuta baada ya kumtafuta ex wangu

🤣🤣🤣🤣Yaane unekaa ukawazaa ukaona huu ndo uzi wakuka kuutundiaka hapa aisee duh.
Mle tuu mkuu kisha lete mrejesho wa kitakachokupataa
 
Nimejikabidhi kwa Mungu awasaulishe kuhusu mimi😂,
Majibu yamejibu Mungu kawasahaulisha kuhusu mimi,, chezea block ya Allah
 
Huyu dogo atakuja kupakatwa na msela wa EX wake mpaka ashangae tena utapigwa kavu mdogo wangu....
 
SAS Kama huwezi mgegeda unataka msaada gani Huku


Mwanmke kashaolewa Bado mnafatana fana HV mna akili kweli
 
Mkifinywaa uwani mnaanza kuona dunia mbaya kumbe upumbavu wako. Andaa mataqo kutobolewa
 
kimbia mtego huo kitendo Cha kupiga Simu ukaipokea ni hatari sana , mtu uliyewahi kukutana nae kimwili connection inabaki Ili uivunje inatakiwa kujizuia na kujikana nafsi unless unazama kilindini tena
 
Mwenye ile picha ya CHAI inafuka moshi hivi naiomba tafadhali........
 
Huyo manzi anatengenezwa na mume wake uingie kingi watu wafunue ukurasa wa n'nya!
 
Kuna mwamba nilimfuma kama wewe nikapita pharmacy nikanunua KY na nikapita maduka ya Sunna nikanunua vumbi la Kongo. Nikajenga nae yule mwamba urafiki kama sijui anataka kumla mwenza wangu. Wiki 2 zilizopita kaingia 18 zangu nimekwenda nae bar kama rafiki nikamnunulia Safari lager nikaweka panadol nusu mwamba chaliiii nikavuta pembeni nikatoa KY na vumbi la Kongo, mama..e kahama mji na kawacha usumbufu kwa mwenza wangu🤣.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…