Kilichonikuta baada ya kumtafuta ex wangu

Kilichonikuta baada ya kumtafuta ex wangu

Khah! Kwa hiyo,kupokea simu yako au kukupigia,wewe umeshajiaminisha kuwa anakutaka wewe? Angekuona wa maana angekomaa na wewe miaka ile! Ila kwa juice za watoto na hamu na chips ulizokua ukinunua,poa tu
Mwache ajichanganye awe baba mchangiaji huduma za familia ya Mwanaume mwingine na papuchi hapati, 🤪
 
Wakuu mulibwanji?

Huku mambo ni mwagalayoooo.

Leo baada ya miaka 5 ya kuachana kwa matatzo na mtoto wa kinyiramba nimemtext leo kwa mara ya kwanza.
Nilianza kwa kumtext kwamba if i made u cry am sorry akajbu kwa kuuliza we nani nikajtambulisha rasmi tukaanza kuchart akanambia ameolewa yupo moshi. Na ana watoto wawili, akauliza khs mimi nikamjbu sjaoa na sina mpango huo kwasasa.

Kilichofata akaanza lawama nyng sn wakati tuko wote mambo mabaya nliyomfanyia mpk leo yanamuuma sn mi skuwa na maneno mengi zaidi ya kumjbu am sorry na kukubaliana na lawama zote na kustahili kuhukumiwa.

Akanambia ameshanisamehe niwe na amani tu. Nikamshukuru na kumtakia kheri yeye na familia yake ksha nikamwambia ninasktika na kuumia sana kwani.

Amekumbushia mambo yaliyopta wkt mi nimeamua tu leo kumsalimia. Akajbu hapana ye kaonyesha tu hisia zake vile aliumia nikamjbu sawa na nashukuru sn, nikatulia nikashangaa amepga simu nlipopokea tukasalimiana tu na nikamuliza nambie sasa.

Akasema hamna ktu mi nkamwambia basi takucol tommorow nipe muda mumeo aspokuwepo akajbu muda mzuri mchana nikamuaga.

Wakuu huyu ex inaelekea bdo ananihtaji au najdanganya tu?
NB: SIWEZI TEMBEA NAYE TENA NI MKE WA MTU SASA.
Umwmtongoza hakafu unatuuliza kama bado anakutaka?

Uchawi kweli upo
 
Uliponiona wapi?
Si kule ulikokua? Nikajua tu yule pale,analo. Nikawa nasogea tu taratibu nikijua unakuja tunakutana. Nikawa najiuliza huyu anatembea kinyume nyume! Basi nikaongeza mwendo. Kukaribia,kumbe na wewe tuko njia moja. Kifupi wezele hamna. Ukiwa unaenda,watu wanahisi unakuja. Mbele na nyuma no diferent
 
Si kule ulikokua? Nikajua tu yule pale,analo. Nikawa nasogea tu taratibu nikijua unakuja tunakutana. Nikawa najiuliza huyu anatembea kinyume nyume! Basi nikaongeza mwendo. Kukaribia,kumbe na wewe tuko njia moja. Kifupi wezele hamna. Ukiwa unaenda,watu wanahisi unakuja. Mbele na nyuma no diferent
Ha haaa hujakosea kabisa
 
'Usipende kumfanyia mwenzio kitu usichopenda ww kufanyiwa"
Kumbuka na mkeo mtarajiwa ni x wa fulani huko je siku ukigundua wanapasha utajiskiaje? Staki unijibu endelea na mambo yako
huyo kuna dogo form 3 anamkula mke wake, hapo ni kwamba et anataka kulipiza kisasi.
 
Back
Top Bottom