Kilichonikuta baada ya kunywa pombe

Kilichonikuta baada ya kunywa pombe

empty folder

Member
Joined
Dec 10, 2017
Posts
50
Reaction score
43
Ndugu wanajamii naombeni msaada wa vyakula visivyofaa baada ya kulewa, jan I likuw sk yang ya kwanza kunyw pombe baada ya hapo nikarudi zangu home nikakuta wf kaanda samaki na ugali, km kawaida Nikaanz kujisevia kilichonikuta kitandan siwez kusahau, yaan nilitapika sana karibia kufa, ilibidi nishinde choon kumuondolea wf usumbufu, kwahy wadau naombeni msaada kwani nimeona pombe ni nzuri sana sitaki hilijambo lijirudie
 
Kila la kheri mkuu, maana safari moja huanzisha nyingine.....
 
Maisha kweli hayapo fair wenzio wanatafuta namna ya kuacha pombe we unajaribu kujifunza..Haya kwa tukio ulilofanya jana usirudie kunywa tena utakuja kuharisha mbele za watu。
Ivi izo mbuzi bei gani!!??
 
Kama pombe ni nzuri endelea kunywa ila unajitaabisha bure hayo yote ni ubatili pombe haina maana yeyote ile
 
Kinachotapikwa ni sumu mwilini, sasa wewe kwa kutumia mdomo tu zinasema pombe ni Nzuri, ila mwili hauitaki.
 
Kuwa makini usije ukalew a Sana. Watu wakakupapasa kalio[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Unapogundua kuwa ukinywa pombe unatapika.
Ni wazi pengine MUNGU anakuepusha na mabalaa mbeleni. kwani ni dose. Chah
 
Bora ulitapika baada ya kurudi home!

Jiulize ungekata Moto wakati upo njiani Vijana wangekuacha salama?
 
Umeshaona dalili pombe imekukataa...bado unataka mpaka ujisaidie kitandani kisha uje kuomba ushauri..[HASHTAG]#mkeo[/HASHTAG] ana shida!
 
Tumia supu murua weka ndimu na pilipili kiasi... pia nyama choma ni nzuri kama umekunywa vinywaji vikali...
Kutapika ni kawaida utapokula vyakula vya mafuta mengi na vilivyoungwa...
Pia usipende kunywa kama hujala maana hudhoofisha mwili..

Asante wasalaam wote
 
Back
Top Bottom