empty folder
Member
- Dec 10, 2017
- 50
- 43
Ndugu wanajamii naombeni msaada wa vyakula visivyofaa baada ya kulewa, jan I likuw sk yang ya kwanza kunyw pombe baada ya hapo nikarudi zangu home nikakuta wf kaanda samaki na ugali, km kawaida Nikaanz kujisevia kilichonikuta kitandan siwez kusahau, yaan nilitapika sana karibia kufa, ilibidi nishinde choon kumuondolea wf usumbufu, kwahy wadau naombeni msaada kwani nimeona pombe ni nzuri sana sitaki hilijambo lijirudie