Kilichonikuta Mlimani City: Nimekula chakula na kupewa bili kubwa nisiyotarajia

Kilichonikuta Mlimani City: Nimekula chakula na kupewa bili kubwa nisiyotarajia

ulaya12

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2017
Posts
834
Reaction score
907
Jana nilienda mlimani city, katika kufanya shopping, nilipomaliza wakati natoka nikaona kuna Restaurant, nikaagiza chakula wali kwa samaki "change"na juice ya ukwaju ila kosa nililofanya sikuulizia bei

Sasa nilipomaliza kula ikafikia wakati wakulipa hela nikamuuliza muhudumu nadaiwa sh. ngapi? yule muhudumu akaenda counter akarudi na bili inasoma 18,000/= na juice 4,000/= jumla 22,000/= kwakweli niliishiwa nguvu kabisa na nilijilaumu sana kwanini sikuuliza bei kabla hadi ninaondoka pale hadi muda huu bado akili haijakaa sawa

Yaani kama nimeibiwa mwenyewe nilishazoea uswahilini 3,000/= unapata msosi wamaana kabisa ila nimejifunza kitu kuulizia bei kabla yakuagiza kamajana ningekuwa sinahela sijui wangenifanya nini
 
Jana nilienda mlimani city, katika kufanya shopping, nilipomaliza wakati natoka nikaona kuna Restaurant, nikaagiza chakula wali kwa samaki "change"na juice ya ukwaju ila kosa nililofanya sikuulizia bei sasa nilipomaliza kula ikafikia wakati wakulipa hela nikamuuliza muhudumu nadaiwa sh. ngapi? yule muhudumu akaenda counter akarudi na bili inasoma 18,000/=na juice 4,000/=jumla 22,000/=kwakweli niliishiwa nguvu kabisa na nilijilaumu sana kwanini sikuuliza bei kabla hadi ninaondoka pale hadi mudahuu bado akili haijakaa sawa yaani kama nimeibiwa mwenyewe nilishazoea uswahilini 3,000/=unapata msosi wamaana kabisa ila nimejifunza kitu kuulizia bei kabla yakuagiza kamajana ningekuwa sinahela sijui wangenifanya nini
acha ubahiri wewe mara moja moja ukizingatia mwisho wa mwezi unaumia nini?
 
. Sema miguu ya kuku mitamu
Ndiomaana mwanaume analalamika hapa mubashara kabisa, alafu mwisho wa siku atakuja kusema mnara hausomi 4G kwasababu ya chips za kwa mtogole....[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Ndiomaana mwanaume analalamika hapa mubashara kabisa, alafu mwisho wa siku atakuja kusema mnara hausomi 4G kwasababu ya chips za kwa mtogole....[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hahahhaaaa.
 
Jana nilienda mlimani city, katika kufanya shopping, nilipomaliza wakati natoka nikaona kuna Restaurant, nikaagiza chakula wali kwa samaki "change"na juice ya ukwaju ila kosa nililofanya sikuulizia bei sasa nilipomaliza kula ikafikia wakati wakulipa hela nikamuuliza muhudumu nadaiwa sh. ngapi? yule muhudumu akaenda counter akarudi na bili inasoma 18,000/=na juice 4,000/=jumla 22,000/=kwakweli niliishiwa nguvu kabisa na nilijilaumu sana kwanini sikuuliza bei kabla hadi ninaondoka pale hadi mudahuu bado akili haijakaa sawa yaani kama nimeibiwa mwenyewe nilishazoea uswahilini 3,000/=unapata msosi wamaana kabisa ila nimejifunza kitu kuulizia bei kabla yakuagiza kamajana ningekuwa sinahela sijui wangenifanya nini
pole na hongera lakini si ulipewa risiti mbele ya yule muhindi?
Hiyo ndiyo price discrimination.....
Hapo kodi ni kubwa,mazingira mzuri,hali ya hewa nzuri tena kwa sasa wameboresha zaidi na pia kuna usalama kuanzia wa chakula chako hadi wewe....
 
Mnavyotubeza wanaume wa Dar! Sasa hizo ndizo sehemu tunazowapelekaga wanawake wa Dar. Yani tunasimamia show za kibabe bili ikija- laki na ushehe... Sio hao wanaume wenu wa mikoani wakiwatoa outing bill sh elfu tano alafu wanajifanya kuongeea.
 
Back
Top Bottom