Kilichonikuta Mlimani City: Nimekula chakula na kupewa bili kubwa nisiyotarajia

Bora wewe apo ni mlimani city mi niliendaga mbagara zakhemu kuna stationary moja niliingia nikakuta wadau wanapiga juice mule kutokana na khali ya uchovu na joto maana kazi yangu nilikuwa nasubiri hadi nusu saa ndo ikamilike nikaagiza juice na Mimi uku moyoni nikijua itakuwa mia tano ikizidi sana buku nikapiga glass ya kwanza ikaisha nikaagiza ya pili mwishoni nikamalizia mchanganyiko wa juice ya ukwaju matikiti sijui na matakataka gani Ile namaliza nikatoa 5000 nimkatie dada akanambia mbona pesa haitoshi nikashaangaa akanambia zile juice za parachichi ni 5000 na ule mchanganyiko 7000 nikampa 17000 yake nikasema poa tu
 
Aisee
 
Sasa hiyo bill unashaangaaje kwa mlimani city pole siku nyingine ukienda hapo uwe umeshakula kabisa uswahilini kwako
Ngoja nimuoneshe ile bill yetu ya Samaki Samaki
IMG_20180121_124857.jpg
 
Bora wewe apo ni mlimani city mi niliendaga mbagara zakhemu kuna stationary moja niliingia nikakuta wadau wanapiga juice mule kutokana na khali ya uchovu na joto maana kazi yangu nilikuwa nasubiri hadi nusu saa ndo ikamilike nikaagiza juice na Mimi uku moyoni nikijua itakuwa mia tano ikizidi sana buku nikapiga glass ya kwanza ikaisha nikaagiza ya pili mwishoni nikamalizia mchanganyiko wa juice ya ukwaju matikiti sijui na matakataka gani Ile namaliza nikatoa 5000 nimkatie dada akanambia mbona pesa haitoshi nikashaangaa akanambia zile juice za parachichi ni 5000 na ule mchanganyiko 7000 nikampa 17000 yake nikasema poa tu
Hahahaa,, pole mzee
 
Kwa akili yako huyo ni wa dar?we pia itakua wakuja,hapa mjini mambo hayo wenye mji tushazoea, huyo ni msukuma mwenzako
Mimi ni msukuma ndio, hata hiyo picha inajieleza.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
IMG-20180101-WA0011.jpg
 
Jana nilienda mlimani city, katika kufanya shopping, nilipomaliza wakati natoka nikaona kuna Restaurant, nikaagiza chakula wali kwa samaki "change"na juice ya ukwaju ila kosa nililofanya sikuulizia bei

Sasa nilipomaliza kula ikafikia wakati wakulipa hela nikamuuliza muhudumu nadaiwa sh. ngapi? yule muhudumu akaenda counter akarudi na bili inasoma 18,000/= na juice 4,000/= jumla 22,000/= kwakweli niliishiwa nguvu kabisa na nilijilaumu sana kwanini sikuuliza bei kabla hadi ninaondoka pale hadi muda huu bado akili haijakaa sawa

Yaani kama nimeibiwa mwenyewe nilishazoea uswahilini 3,000/= unapata msosi wamaana kabisa ila nimejifunza kitu kuulizia bei kabla yakuagiza kamajana ningekuwa sinahela sijui wangenifanya nini
We lisamaki lote hilo ulitaka ulinunue kwa buku mbili?
 
Sasa hiyo bill unashaangaaje kwa mlimani city pole siku nyingine ukienda hapo uwe umeshakula kabisa uswahilini kwako
Hawa jamaa wa Dar wamelegea sana mkuu, mwenzao amewaaibisha alafu wanajifanya kumtosea mkoani...... wakati sie wa mkoani huwa tunaulizia kwanza bei kabla ya kujifanya mabishoo...[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Na we unakosea hutakiwi kuuliza bei ule kwanza usubili bill
 
Back
Top Bottom