Kilichonikuta Mlimani City: Nimekula chakula na kupewa bili kubwa nisiyotarajia

Kilichonikuta Mlimani City: Nimekula chakula na kupewa bili kubwa nisiyotarajia

Bora tuendelee kubaki huku Coll Me J, maana huyo mmoja tulie mleta hapo Dar anawapeleka puta hata mnashindwa kuhema wallah....[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Wa mjini wala hatupi shida. Wanaolialia ni wakuja ndio wanapata tabu....na bado mtarudi wote porini huko. Si umesikia kasema mpaka lini sijui atakaebaki Dar mwanaume.....so far waliorudi wa mkoani
 
22000 ndo unaanzisha uzi??really??
Wanaume wa Dar ni tatizo sana aiseeeee........
Kuna mmoja aliwahi kuuwa kicheche, basi usiku wake akakuja na boonge la heading akielezea jinsi alivyo pambana na mnyama mkali......[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Sasa unawezaje kufanya shopping mcity ukashangaa 22,000 ya bili ya msosi? Au ulienda kifanya window shopping?
Ila kweli kama ameweza kufanya shopping mlimani city nadhan hawezi shangaa bei hiyo ya chakula maana vitu tu vya mliman vina bei mara tatu ya vitu vya sehemu nyingine sasa nadhan anazingua tu
 
Ila kweli kama ameweza kufanya shopping mlimani city nadhan hawezi shangaa bei hiyo ya chakula maana vitu tu vya mliman vina bei mara tatu ya vitu vya sehemu nyingine sasa nadhan anazingua tu
No,kuna vitu mliman city ni bei chee kuliko mtaan,mfano vyakula ,vinywaji na vipodoz vya kwenye supermarket
 
Mnavyotubeza wanaume wa Dar! Sasa hizo ndizo sehemu tunazowapelekaga wanawake wa Dar. Yani tunasimamia show za kibabe bili ikija- laki na ushehe... Sio hao wanaume wenu wa mikoani wakiwatoa outing bill sh elfu tano alafu wanajifanya kuongeea.

Unajikuna mkono unapoishia mkuu
 
Ungejikaza ukavuka barabara usingeumizwa vile! Pole
 
Upo town kitambo au ndio ulikua umeingia kutoka misungwi poti!!!
 
Mnavyotubeza wanaume wa Dar! Sasa hizo ndizo sehemu tunazowapelekaga wanawake wa Dar. Yani tunasimamia show za kibabe bili ikija- laki na ushehe... Sio hao wanaume wenu wa mikoani wakiwatoa outing bill sh elfu tano alafu wanajifanya kuongeea.
Acha zeleu jombaa
 
Uwiiii pole mkuu mimi nilienda arusha kumfata hubby so jioni akaniambia twende impala sasa hubby yeye ni mzee wa konyagi always akaagiza konyagi yake na mie nikaagiza savana yangu +indian food ile kumaliza tunataka kuondoka tukaomba bill lohh kuangalia bei ya konyagi ni tsh 79000 nilishangaa sana na hela iliniuma sana kwa kwl duh.....siku ya pili gold crest tukaenda inauzwa 45 kitu kama hicho!! Nikasema shkamoooo arusha

Huyo alikuwa anakukomoa sasa hizo mahoteli karibia asilimia 80 ni watalii ndo hutumia
 
ngoja na mm nimalizie nsimu wa korosho uku ntimbwilimbwi nije njini kupaona hapo nlimani chite
 
Haha... Kumbe ndo wewe jana nilikuletea bill? Huwezi amini pale kwenye bili, nilikupiga 8000. Ilitakiwa ulipe 14000, nikamwambia cashier aweke 8k ya juu maana tulikuona mshamba mshamba
 
22K unalalamika?ukienda sehemu kama akemi, karambez au fish market si ndio utakimbia jiji kabisa
 
Back
Top Bottom