Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MombasaJana nilienda mlimani city, katika kufanya shopping, nilipomaliza wakati natoka nikaona kuna Restaurant, nikaagiza chakula wali kwa samaki "change"na juice ya ukwaju ila kosa nililofanya sikuulizia bei sasa nilipomaliza kula ikafikia wakati wakulipa hela nikamuuliza muhudumu nadaiwa sh. ngapi? yule muhudumu akaenda counter akarudi na bili inasoma 18,000/=na juice 4,000/=jumla 22,000/=kwakweli niliishiwa nguvu kabisa na nilijilaumu sana kwanini sikuuliza bei kabla hadi ninaondoka pale hadi mudahuu bado akili haijakaa sawa yaani kama nimeibiwa mwenyewe nilishazoea uswahilini 3,000/=unapata msosi wamaana kabisa ila nimejifunza kitu kuulizia bei kabla yakuagiza kamajana ningekuwa sinahela sijui wangenifanya nini
Kweli nyie wakuja mna shida sana......unalalamikia 22.000/- doh!! Karibu mjini lakini.Ni nauli ya mwanafunzi wa chuo gani mkuu punguza sifa mzee baba mjini hapa oohoooo [emoji20][emoji29]
Wewe upo mjini onyesha risiti ya chakula ulichowahi kula cha 22000Kweli nyie wakuja mna shida sana......unalalamikia 22.000/- doh!! Karibu mjini lakini.
Huyo si mshamba,nenda kwa sele bonge uone hyo miguu ya kuku menu yake.ukiambiwa ugal na miguu ya kuku elf8 unatoa na unakula had unaomba poo...ushawai kula makange ya miguu ya kuku wewe,unaeza jingata kwa utam. Sema miguu ya kuku mitamu
Hapo ni 44,000 hapo mwanamke angetaka wali kuku. Unaweza kukimbiahapo ulikua alone je ungekua na demu?
Ungepewa gunia la viazi umenye mpaka liishe ndio uondoke!kamajana ningekuwa sinahela sijui wangenifanya nini
Anapika makange ya ngwala sele? Itabidi nimtembelee jioni moja nikale.Huyo si mshamba,nenda kwa sele bonge uone hyo miguu ya kuku menu yake.ukiambiwa ugal na miguu ya kuku elf8 unatoa na unakula had unaomba poo...ushawai kula makange ya miguu ya kuku wewe,unaeza jingata kwa utam
Hahahah,ni balaaAnapika makange ya ngwala sele? Itabidi nimtembelee jioni moja nikale.
Kweli nyie wakuja mna shida sana......unalalamikia 22.000/- doh!! Karibu mjini lakini.
Kama unaishi Dar na unahitaji dada wa kazi wasiliana nami nikuunganishe nae sasa hivi,
~Mshahara uwe si chini ya 90,000/- yaani wastani wa 3,000/- kwa siku.
Kama ni mhitaji wasiliana nami kwa 0655185973 ila utanipa 10,000/-
Karibu.