wap zamani
Senior Member
- May 21, 2017
- 139
- 80
Mwenye mada ndoo sio mwenyewe wa dar hapo.Wanaume wa Dar mnapenda sana kulalamika aiseeeee........
Mlisha zowea kula chips za 2000 na miguu ya kuku huko tandale ehhhh...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenye mada ndoo sio mwenyewe wa dar hapo.Wanaume wa Dar mnapenda sana kulalamika aiseeeee........
Mlisha zowea kula chips za 2000 na miguu ya kuku huko tandale ehhhh...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Kwa akili yako huyo ni wa dar?we pia itakua wakuja,hapa mjini mambo hayo wenye mji tushazoea, huyo ni msukuma mwenzakoWanaume wa Dar mnapenda sana kulalamika aiseeeee........
Mlisha zowea kula chips za 2000 na miguu ya kuku huko tandale ehhhh...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
AiseeBora wewe apo ni mlimani city mi niliendaga mbagara zakhemu kuna stationary moja niliingia nikakuta wadau wanapiga juice mule kutokana na khali ya uchovu na joto maana kazi yangu nilikuwa nasubiri hadi nusu saa ndo ikamilike nikaagiza juice na Mimi uku moyoni nikijua itakuwa mia tano ikizidi sana buku nikapiga glass ya kwanza ikaisha nikaagiza ya pili mwishoni nikamalizia mchanganyiko wa juice ya ukwaju matikiti sijui na matakataka gani Ile namaliza nikatoa 5000 nimkatie dada akanambia mbona pesa haitoshi nikashaangaa akanambia zile juice za parachichi ni 5000 na ule mchanganyiko 7000 nikampa 17000 yake nikasema poa tu
Ngoja nimuoneshe ile bill yetu ya Samaki SamakiSasa hiyo bill unashaangaaje kwa mlimani city pole siku nyingine ukienda hapo uwe umeshakula kabisa uswahilini kwako
Ahaah halaf anajiuliza kwa nini hajauliza bei ukiwa sehemu agiza tu subili bill ulipeNgoja nimuoneshe ile bill yetu ya Samaki Samaki
View attachment 689427
Hahahaa,, pole mzeeBora wewe apo ni mlimani city mi niliendaga mbagara zakhemu kuna stationary moja niliingia nikakuta wadau wanapiga juice mule kutokana na khali ya uchovu na joto maana kazi yangu nilikuwa nasubiri hadi nusu saa ndo ikamilike nikaagiza juice na Mimi uku moyoni nikijua itakuwa mia tano ikizidi sana buku nikapiga glass ya kwanza ikaisha nikaagiza ya pili mwishoni nikamalizia mchanganyiko wa juice ya ukwaju matikiti sijui na matakataka gani Ile namaliza nikatoa 5000 nimkatie dada akanambia mbona pesa haitoshi nikashaangaa akanambia zile juice za parachichi ni 5000 na ule mchanganyiko 7000 nikampa 17000 yake nikasema poa tu
Tehteehhhh.......[emoji12] [emoji12] [emoji12]Mwenye mada ndoo sio mwenyewe wa dar hapo.
Kwa akili yako huyo ni wa dar?we pia itakua wakuja,hapa mjini mambo hayo wenye mji tushazoea, huyo ni msukuma mwenzako
Mimi ni msukuma ndio, hata hiyo picha inajieleza.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]Kwa akili yako huyo ni wa dar?we pia itakua wakuja,hapa mjini mambo hayo wenye mji tushazoea, huyo ni msukuma mwenzako
We lisamaki lote hilo ulitaka ulinunue kwa buku mbili?Jana nilienda mlimani city, katika kufanya shopping, nilipomaliza wakati natoka nikaona kuna Restaurant, nikaagiza chakula wali kwa samaki "change"na juice ya ukwaju ila kosa nililofanya sikuulizia bei
Sasa nilipomaliza kula ikafikia wakati wakulipa hela nikamuuliza muhudumu nadaiwa sh. ngapi? yule muhudumu akaenda counter akarudi na bili inasoma 18,000/= na juice 4,000/= jumla 22,000/= kwakweli niliishiwa nguvu kabisa na nilijilaumu sana kwanini sikuuliza bei kabla hadi ninaondoka pale hadi muda huu bado akili haijakaa sawa
Yaani kama nimeibiwa mwenyewe nilishazoea uswahilini 3,000/= unapata msosi wamaana kabisa ila nimejifunza kitu kuulizia bei kabla yakuagiza kamajana ningekuwa sinahela sijui wangenifanya nini
Hawa jamaa wa Dar wamelegea sana mkuu, mwenzao amewaaibisha alafu wanajifanya kumtosea mkoani...... wakati sie wa mkoani huwa tunaulizia kwanza bei kabla ya kujifanya mabishoo...[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Sasa hiyo bill unashaangaaje kwa mlimani city pole siku nyingine ukienda hapo uwe umeshakula kabisa uswahilini kwako
Shule gani?Umetoka mkoa gani kwani....mbona 22.000/ ni nauli ya mwanafunzi hiyo + kula yake ya mchana
Kwa hiyo pesa, inawatosha wanaume 10 wa huko Daslam..... hapo watakula na kusaza, na maji wanapata ya 100 kila mmoja na bado chenchi inatakiwa 1000......[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Do 22,000 kiepe sahani ngapi hapo kwa muuza chips
Huyo ni msuka nywele kama wewe, sio Men huyo!Wanaume wa Dar mnapenda sana kulalamika aiseeeee........
Mlisha zowea kula chips za 2000 na miguu ya kuku huko tandale ehhhh...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Na we unakosea hutakiwi kuuliza bei ule kwanza usubili billHawa jamaa wa Dar wamelegea sana mkuu, mwenzao amewaaibisha alafu wanajifanya kumtosea mkoani...... wakati sie wa mkoani huwa tunaulizia kwanza bei kabla ya kujifanya mabishoo...[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]