Kilichonikuta Mlimani City: Nimekula chakula na kupewa bili kubwa nisiyotarajia

Mombasa
 
Ni nauli ya mwanafunzi wa chuo gani mkuu punguza sifa mzee baba mjini hapa oohoooo [emoji20][emoji29]
Kweli nyie wakuja mna shida sana......unalalamikia 22.000/- doh!! Karibu mjini lakini.
 
. Sema miguu ya kuku mitamu
Huyo si mshamba,nenda kwa sele bonge uone hyo miguu ya kuku menu yake.ukiambiwa ugal na miguu ya kuku elf8 unatoa na unakula had unaomba poo...ushawai kula makange ya miguu ya kuku wewe,unaeza jingata kwa utam
 
Ushauri alionipa jamaa hapo juu kuwa "pale siyo sehemu yakwenda kula nisehemu ya matembezi ni mzuri "
 
Huyo si mshamba,nenda kwa sele bonge uone hyo miguu ya kuku menu yake.ukiambiwa ugal na miguu ya kuku elf8 unatoa na unakula had unaomba poo...ushawai kula makange ya miguu ya kuku wewe,unaeza jingata kwa utam
Anapika makange ya ngwala sele? Itabidi nimtembelee jioni moja nikale.
 
Uwiiii pole mkuu mimi nilienda arusha kumfata hubby so jioni akaniambia twende impala sasa hubby yeye ni mzee wa konyagi always akaagiza konyagi yake na mie nikaagiza savana yangu +indian food ile kumaliza tunataka kuondoka tukaomba bill lohh kuangalia bei ya konyagi ni tsh 79000 nilishangaa sana na hela iliniuma sana kwa kwl duh.....siku ya pili gold crest tukaenda inauzwa 45 kitu kama hicho!! Nikasema shkamoooo arusha
 
Kweli nyie wakuja mna shida sana......unalalamikia 22.000/- doh!! Karibu mjini lakini.


Kama unaishi Dar na unahitaji dada wa kazi wasiliana nami nikuunganishe nae sasa hivi,
~Mshahara uwe si chini ya 90,000/- yaani wastani wa 3,000/- kwa siku.
Kama ni mhitaji wasiliana nami kwa 0655185973 ila utanipa 10,000/-
Karibu.

Nitafutie dada wa kazi nikupe 10,000. Hii kazi itakua inakulipa sana.
 
Karibu Sana mkuu Dar es salaam. Nadhani umepata cha kuhadithia
 
ila wabongo kwa kujifanya babu kubwa hatujambo..hapa kwenye huu uzi kuna wengine bado wanaishi kwa mashemeji zao lakini wanajifanya nao eti kumponda mleta mada...me mwenyewe niliezoea kula misosi ya 1500 huku uswazi, lazima hiyo 22000 ingenipa mawazo .
 
Mi nlikuwa naenda nchi flan kumbe vitu vya airport ni majanga, kwenye internationa lounge na domestic loung vitu vinauzwa bei tofauti, nliagiza bablish nikalipa elf10 nikarudishiwa elf6, sikujali sana coz nlikuwa naenda shule na nlikuwa na mshiko wa kutosha. Shida ikaja UAE mji unaitwa abudhabi, nlifika mida ya saa mbili usiku nikaka hadi saa nane hapa kati nikaanza kutafuta kishtua tumbo nlikuwa na dola km 1000 hivi mfukon nlizokuwa nimechenj DIA. nikalipa dola 100 nlichorudishiwa ni siri yangu. Mpaka sasa huwa nikiwa nasafiri huwa nahakikisha nimekula nikashiba kabla ndege haijatua. Airport labda maji ya kunywa tu nikisubiri kuunga ndege.
 
Uwe unasoma menu kwanza kabla ya kuagiza
Any way pole

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…