Kilichonikuta Mlimani City: Nimekula chakula na kupewa bili kubwa nisiyotarajia

Shopping uliyofanya ulinunua nini? ulipigwa kiasi gani?
 
pesa ya nyanya hata haitoshi kwa hiyo yako,,,
ina onekana hata kushiba hukushiba coz ulikua una waza bill
 
ungekua hauna hela kabisa wangekupeleka jikoni kushainisha masufuria au kuchonga viazi... Hii tabia nmeiona kwa wakenya lakini...
 
Umetoka mkoa gani kwani....mbona 22.000/ ni nauli ya mwanafunzi hiyo + kula yake ya mchana
[emoji1] [emoji1] nimecheka sana.. wanafunzi apewe 22,000.wakati asubhi unakuta mtoto anatumwa dukani na mia tano akaombe chenji ili yeye achukue mia nne ya nauli na mia ibaki nyumbni ya maji wew unacheza na zama hizi nini ukisia vyuma nimekaza vimekaza kweli kweli..
 
Pole sana ndugu hata me imewai kunitokea saiv nimejifunza huwa nauliza kwanza bei..
 
Mzee vyuma vimekaza kwetu sisi tu kuna watu wanafanya kufuru usipime......unajua kuna madent wanaenda shule na vyombo vya usafiri binafsi kwenda na kurudi shule + lunch na matumuzi mengine.....hapo 22.000/ ni nini kwake.
 
pole sana kaka ila nakushauri unapoingia hoteli yoyote uliza kwanza bei sio aibu nahata ukiingia hotel za mitaani jitahidi uwe unauliza kwanza na pili ukitaka kutengenezewa kitu chochote patana bei kwanza na asikuambie fundi usijali gatuwezi kushindana mimi na wewe wewe mteja wetu nooo usikubali patana kwanza haya ni mafundisho ya dini inavyotuambia
 

wewe sio kweli nimeishi abudhabi miaka 25 chakula nchi hiyo ni rahisi sana watu mpaka wanamwaga chakula mpaka wazungu wanashangaa
 
naona wachangiaji hamuwajui wasukuma mnaropoka tu kwanza msukuma huwa akija mjini ana pesa msukuma huwa wengi wao wanapesa akinunua kitu hangalii bei hutoa tu wala halalamiki na anapokula hupenda anayepita karibu yake amkaribishe wale pamoja hata kama hamjui
 
hao sio wasukuma
Huyo alie lala umemtambua...[emoji45] [emoji45]
Maana wenzie wakati wanasoma, yeye alikuaga analala tu...... alafu leo hii yeye ndie anakula good time kuliko wale waliokuaga wanasoma kwa bidii wakati yeye anauchapa...[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 

Pole na dhahama hiyo.

Kwani huo mgahawa hawana "menu" ionyeshayo bei ya vyakula na vinywaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…