Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Una utan na magufuliJamaa atakuwa katoka Chato
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una utan na magufuliJamaa atakuwa katoka Chato
Kalipa bill ye2 mwenyewe ila hela imeniuma mimi jamani!Huyo alikuwa anakukomoa sasa hizo mahoteli karibia asilimia 80 ni watalii ndo hutumia
Kalipa bill ye2 mwenyewe ila hela imeniuma mimi jamani!
[emoji1] [emoji1] nimecheka sana.. wanafunzi apewe 22,000.wakati asubhi unakuta mtoto anatumwa dukani na mia tano akaombe chenji ili yeye achukue mia nne ya nauli na mia ibaki nyumbni ya maji wew unacheza na zama hizi nini ukisia vyuma nimekaza vimekaza kweli kweli..Umetoka mkoa gani kwani....mbona 22.000/ ni nauli ya mwanafunzi hiyo + kula yake ya mchana
Pole sana ndugu hata me imewai kunitokea saiv nimejifunza huwa nauliza kwanza bei..Jana nilienda mlimani city, katika kufanya shopping, nilipomaliza wakati natoka nikaona kuna Restaurant, nikaagiza chakula wali kwa samaki "change"na juice ya ukwaju ila kosa nililofanya sikuulizia bei
Sasa nilipomaliza kula ikafikia wakati wakulipa hela nikamuuliza muhudumu nadaiwa sh. ngapi? yule muhudumu akaenda counter akarudi na bili inasoma 18,000/= na juice 4,000/= jumla 22,000/= kwakweli niliishiwa nguvu kabisa na nilijilaumu sana kwanini sikuuliza bei kabla hadi ninaondoka pale hadi muda huu bado akili haijakaa sawa
Yaani kama nimeibiwa mwenyewe nilishazoea uswahilini 3,000/= unapata msosi wamaana kabisa ila nimejifunza kitu kuulizia bei kabla yakuagiza kamajana ningekuwa sinahela sijui wangenifanya nini
Mzee vyuma vimekaza kwetu sisi tu kuna watu wanafanya kufuru usipime......unajua kuna madent wanaenda shule na vyombo vya usafiri binafsi kwenda na kurudi shule + lunch na matumuzi mengine.....hapo 22.000/ ni nini kwake.[emoji1] [emoji1] nimecheka sana.. wanafunzi apewe 22,000.wakati asubhi unakuta mtoto anatumwa dukani na mia tano akaombe chenji ili yeye achukue mia nne ya nauli na mia ibaki nyumbni ya maji wew unacheza na zama hizi nini ukisia vyuma nimekaza vimekaza kweli kweli..
Mi nlikuwa naenda nchi flan kumbe vitu vya airport ni majanga, kwenye internationa lounge na domestic loung vitu vinauzwa bei tofauti, nliagiza bablish nikalipa elf10 nikarudishiwa elf6, sikujali sana coz nlikuwa naenda shule na nlikuwa na mshiko wa kutosha. Shida ikaja UAE mji unaitwa abudhabi, nlifika mida ya saa mbili usiku nikaka hadi saa nane hapa kati nikaanza kutafuta kishtua tumbo nlikuwa na dola km 1000 hivi mfukon nlizokuwa nimechenj DIA. nikalipa dola 100 nlichorudishiwa ni siri yangu. Mpaka sasa huwa nikiwa nasafiri huwa nahakikisha nimekula nikashiba kabla ndege haijatua. Airport labda maji ya kunywa tu nikisubiri kuunga ndege.
Mimi ni msukuma ndio, hata hiyo picha inajieleza.....[emoji12] [emoji12] [emoji12] View attachment 689431
Huyo alie lala umemtambua...[emoji45] [emoji45]hao sio wasukuma
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Utakuwa msukuma wa chato au kolomije wewe
Jana nilienda mlimani city, katika kufanya shopping, nilipomaliza wakati natoka nikaona kuna Restaurant, nikaagiza chakula wali kwa samaki "change"na juice ya ukwaju ila kosa nililofanya sikuulizia bei
Sasa nilipomaliza kula ikafikia wakati wakulipa hela nikamuuliza muhudumu nadaiwa sh. ngapi? yule muhudumu akaenda counter akarudi na bili inasoma 18,000/= na juice 4,000/= jumla 22,000/= kwakweli niliishiwa nguvu kabisa na nilijilaumu sana kwanini sikuuliza bei kabla hadi ninaondoka pale hadi muda huu bado akili haijakaa sawa
Yaani kama nimeibiwa mwenyewe nilishazoea uswahilini 3,000/= unapata msosi wamaana kabisa ila nimejifunza kitu kuulizia bei kabla yakuagiza kamajana ningekuwa sinahela sijui wangenifanya nini
Ni nauli ya mwanafunzi wa chuo gani mkuu punguza sifa mzee baba mjini hapa oohoooo [emoji20][emoji29]