Kilichonishangaza kwenye Taarifa ya habari, ni chombo kimoja kilichorusha habari ya Makonda. Huu ni utaratibu mzuri dhidi ya Mabeberu

Corticopontine

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2019
Posts
666
Reaction score
1,277
Nimeangalia Taarifa ya Habari iwe ITV, TBC, AZAM TV hakuna habari iliyotangazwa ya Makonda sijui kuzuiliwa kwenda Marekani

Huu utaratibu mzuri kesho tena tunategemea kutoona gazeti lolote lililoandika ujinga wa Mabeberu

====
Edit:

Azam TV wamei-cover habari hii
 
IMG_20200201_221841.jpg
 
Unajifanya kuwa hujui katika nchi ya puerto rico vyombo vya habari vilishawekwa mfukoni siku nyingi?Unajifanya ugandamizaji wa uhuru wa kujieleza pamoja na uhuru wa habari uliotajwa na michael pompeo kwenye lile tamko lake huujui?Wewe unaishi nchi gani au ni zezeta tu usiefuatilia vitu?
 
Nimeangalia Taarifa ya Habari iwe ITV, TBC, AZAM TV hakuna habari iliyotangazwa ya Makonda sijui kuzuiliwa kwenda Marekani

Huu utaratibu mzuri kesho tena tunategemea kutoona gazeti lolote lililoandika ujinga wa Mabeberu
nazi haishindani na jiwe itapasuka tu..tusijitoe akili watanzania kwenye hili swala linahatarisha diplomasia yetu iliyojegwa kwa jasho na damu na mwalimu nyerere..

ni lazima viongozi wetu wajue mipaka yao sio kila kitu ni kujimwambafai..
 
Naunga mkono hoja, hapa kanuni ya uzalendo vs mabeberu applies.
Makonda ni mteule wa rais wa JMT, amekuwa condemned unheard na mabeberu Wamarekani ambao ni outsiders, hivyo media ya Tanzania zimeamua kutanguliza uzalendo kwa kushikamana na mteule mzalendo mchapakazi Makonda na kuwapuuza mabeberu Wamarekani na vibaraka wao waliotamalaki mitandaoni.
P
 
Naunga mkono hoja, hapa kanuni ya uzalendo applies.
Makonda ni mteule wa rais wa JMT, Wamarekani are outsiders, hivyo media ya Tanzania imeshikamana na mteule na kuwapuuza mabeberu.
P
Mbona azam tv wametangaza na ilikuwa ndo habari kuu ya kwanza TBC usitegemee kuiona ITV siku hizi wamekuwa watiifu hadi kero
Azam tv wamemtafuta Makonda ila akagoma kuzungumzia akisema hana taarifa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani vyombo vya habari viache kuimba mapambio vitangaze kipenzi cha jiwe?

Ile sheria iliyorekebishwa imevinyima vyombo vya habari uhuru wa kutoa habari.

Hii imewekwa kando kwa maslahi mapana ya taifa 😀 😀 😎
 
Unajifanya kuwa hujui katika nchi ya puerto rico vyombo vya habari vilishawekwa mfukoni siku nyingi?Unajifanya ugandamizaji wa uhuru wa kujieleza pamoja na uhuru wa habari uliotajwa na michael pompeo kwenye lile tamko lake huujui?Wewe unaishi nchi gani au ni zezeta tu usiefuatilia vitu?
Mumfwate huko aliko mkaishi naye, Tanzania ni nchi yetu ya asili hatukuomba kuwepo na yeye si Mungu ajifanye anatupangia maisha yetu...Apambambane na hali yake huko amerikani ambako wanakataa ushahidi wa kung'oa boss wake
 
Nimeangalia Taarifa ya Habari iwe ITV, TBC, AZAM TV hakuna habari iliyotangazwa ya Makonda sijui kuzuiliwa kwenda Marekani

Huu utaratibu mzuri kesho tena tunategemea kutoona gazeti lolote lililoandika ujinga wa Mabeberu

====
Edit:

Azam TV wamei-cover habari hii
Wee lazima utakuwa ni ZEZETA.
 
Nimeangalia Taarifa ya Habari iwe ITV, TBC, AZAM TV hakuna habari iliyotangazwa ya Makonda sijui kuzuiliwa kwenda Marekani

Huu utaratibu mzuri kesho tena tunategemea kutoona gazeti lolote lililoandika ujinga wa Mabeberu

====
Edit:

Azam TV wamei-cover habari hii
Nisaidieni nitapataje clip ya azam jinsi walivyoicover hiyo habari nataka niitumie sehemu
 
Nimeangalia Taarifa ya Habari iwe ITV, TBC, AZAM TV hakuna habari iliyotangazwa ya Makonda sijui kuzuiliwa kwenda Marekani

Huu utaratibu mzuri kesho tena tunategemea kutoona gazeti lolote lililoandika ujinga wa Mabeberu

====
Edit:

Azam TV wamei-cover habari hii
Bwashee unaifananisha Azam tv na ITV kweli?!

Yule Bakhresa ni " tajiri"
 
Nimeangalia Taarifa ya Habari iwe ITV, TBC, AZAM TV hakuna habari iliyotangazwa ya Makonda sijui kuzuiliwa kwenda Marekani

Huu utaratibu mzuri kesho tena tunategemea kutoona gazeti lolote lililoandika ujinga wa Mabeberu

====
Edit:

Azam TV wamei-cover habari hii
si ndio uminywaji wa democrasia huo au umeshindwa kujiongeza tukusaidie ndugu
 
Back
Top Bottom