Corticopontine
JF-Expert Member
- Sep 20, 2019
- 666
- 1,277
Wasipotangaza ndiyo atakuwa hajapigwa ban? Huu ujinga upo kwa Tanzania ya awamu hii tuNimeangalia Taarifa ya Habari iwe ITV, TBC, AZAM TV hakuna habari iliyotangazwa ya Makonda sijui kuzuiliwa kwenda Marekani
Huu utaratibu mzuri kesho tena tunategemea kutoona gazeti lolote lililoandika ujinga wa Mabeberu
nazi haishindani na jiwe itapasuka tu..tusijitoe akili watanzania kwenye hili swala linahatarisha diplomasia yetu iliyojegwa kwa jasho na damu na mwalimu nyerere..Nimeangalia Taarifa ya Habari iwe ITV, TBC, AZAM TV hakuna habari iliyotangazwa ya Makonda sijui kuzuiliwa kwenda Marekani
Huu utaratibu mzuri kesho tena tunategemea kutoona gazeti lolote lililoandika ujinga wa Mabeberu
Wewe ndiyo mjinga wa karne hii usiyejua kutumia media kipropagandaWasipotangaza ndiyo atakuwa hajapigwa ban? Huu ujinga upo kwa Tanzania ya awamu hii tu
Mbona azam tv wametangaza na ilikuwa ndo habari kuu ya kwanza TBC usitegemee kuiona ITV siku hizi wamekuwa watiifu hadi keroNaunga mkono hoja, hapa kanuni ya uzalendo applies.
Makonda ni mteule wa rais wa JMT, Wamarekani are outsiders, hivyo media ya Tanzania imeshikamana na mteule na kuwapuuza mabeberu.
P
Mumfwate huko aliko mkaishi naye, Tanzania ni nchi yetu ya asili hatukuomba kuwepo na yeye si Mungu ajifanye anatupangia maisha yetu...Apambambane na hali yake huko amerikani ambako wanakataa ushahidi wa kung'oa boss wakeUnajifanya kuwa hujui katika nchi ya puerto rico vyombo vya habari vilishawekwa mfukoni siku nyingi?Unajifanya ugandamizaji wa uhuru wa kujieleza pamoja na uhuru wa habari uliotajwa na michael pompeo kwenye lile tamko lake huujui?Wewe unaishi nchi gani au ni zezeta tu usiefuatilia vitu?
Mayalla kikwetu maana yake NJAANaunga mkono hoja, hapa kanuni ya uzalendo applies.
Makonda ni mteule wa rais wa JMT, Wamarekani are outsiders, hivyo media ya Tanzania imeshikamana na mteule na kuwapuuza mabeberu.
P
Wee lazima utakuwa ni ZEZETA.Nimeangalia Taarifa ya Habari iwe ITV, TBC, AZAM TV hakuna habari iliyotangazwa ya Makonda sijui kuzuiliwa kwenda Marekani
Huu utaratibu mzuri kesho tena tunategemea kutoona gazeti lolote lililoandika ujinga wa Mabeberu
====
Edit:
Azam TV wamei-cover habari hii
Nisaidieni nitapataje clip ya azam jinsi walivyoicover hiyo habari nataka niitumie sehemuNimeangalia Taarifa ya Habari iwe ITV, TBC, AZAM TV hakuna habari iliyotangazwa ya Makonda sijui kuzuiliwa kwenda Marekani
Huu utaratibu mzuri kesho tena tunategemea kutoona gazeti lolote lililoandika ujinga wa Mabeberu
====
Edit:
Azam TV wamei-cover habari hii
Bwashee unaifananisha Azam tv na ITV kweli?!Nimeangalia Taarifa ya Habari iwe ITV, TBC, AZAM TV hakuna habari iliyotangazwa ya Makonda sijui kuzuiliwa kwenda Marekani
Huu utaratibu mzuri kesho tena tunategemea kutoona gazeti lolote lililoandika ujinga wa Mabeberu
====
Edit:
Azam TV wamei-cover habari hii
si ndio uminywaji wa democrasia huo au umeshindwa kujiongeza tukusaidie nduguNimeangalia Taarifa ya Habari iwe ITV, TBC, AZAM TV hakuna habari iliyotangazwa ya Makonda sijui kuzuiliwa kwenda Marekani
Huu utaratibu mzuri kesho tena tunategemea kutoona gazeti lolote lililoandika ujinga wa Mabeberu
====
Edit:
Azam TV wamei-cover habari hii