Kwa wana lumumba hawaoni wala kusikiaKwani mkiambiwa hakuna uhuru wa habari hamuelewi?
Mgonjwa Work huyu nae utasikia :Mwandishi mwandamiziNaunga mkono hoja, hapa kanuni ya uzalendo applies.
Makonda ni mteule wa rais wa JMT, Wamarekani are outsiders, hivyo media ya Tanzania imeshikamana na mteule na kuwapuuza mabeberu.
P
Naunga mkono hoja, hapa kanuni ya uzalendo applies.

Wengi wa watanzania hawaridhishwi na ujinga wenu Wakoromije nyinyiMumfwate huko aliko mkaishi naye, Tanzania ni nchi yetu ya asili hatukuomba kuwepo na yeye si Mungu ajifanye anatupangia maisha yetu...Apambambane na hali yake huko amerikani ambako wanakataa ushahidi wa kung'oa boss wake
Mbona corana wanaripoti? Waache uchoko. Taarifa zozote zile za nchi za mabeberu wasizilete. Tutakuwa tuazitafuta wenyewe. Pumbavuuu in magu voice to wateule wake kbd and the like.Naunga mkono hoja, hapa kanuni ya uzalendo applies.
Makonda ni mteule wa rais wa JMT, Wamarekani are outsiders, hivyo media ya Tanzania imeshikamana na mteule na kuwapuuza mabeberu.
P
Wewe umeshajitoa Ufahamu siku nyingi mnoNaunga mkono hoja, hapa kanuni ya uzalendo applies.
Makonda ni mteule wa rais wa JMT, Wamarekani are outsiders, hivyo media ya Tanzania imeshikamana na mteule na kuwapuuza mabeberu.
P
Nimeangalia Taarifa ya Habari iwe ITV, TBC, AZAM TV hakuna habari iliyotangazwa ya Makonda sijui kuzuiliwa kwenda Marekani
Huu utaratibu mzuri kesho tena tunategemea kutoona gazeti lolote lililoandika ujinga wa Mabeberu
====
Edit:
Azam TV wamei-cover habari hii

Zote hizo umeziangalia wewe una macho mangapi?Nimeangalia Taarifa ya Habari iwe ITV, TBC, AZAM TV hakuna habari iliyotangazwa ya Makonda sijui kuzuiliwa kwenda Marekani
Huu utaratibu mzuri kesho tena tunategemea kutoona gazeti lolote lililoandika ujinga wa Mabeberu
====
Edit:
Azam TV wamei-cover habari hii
Eeenh, na kwa vile wale "walionyimwa haki ya kuishi" ni outsiders; na kwa vile mengine yote yaliyosemwa na "US outsiders" yanawapata "outsiders" - "kanuni ya uzalendo" inawalazimu nyinyi wazalendo(feki) na media zenu "mshikamane na mteule" wenu ili muwakamuwe ipasavyo raia wa nchi hii.Naunga mkono hoja, hapa kanuni ya uzalendo applies.
Makonda ni mteule wa rais wa JMT, Wamarekani are outsiders, hivyo media ya Tanzania imeshikamana na mteule na kuwapuuza mabeberu.
P
Lakini hii ndio ingekuwa nafasi nzuri kwao (vyombo vya habari) kuandika habari hiyo kikamilifu kabisa na kwa uwazi ili wakisumbuliwa ionekane wazi kuwa wananyimwa nafasi ya kufanya kazi yao bila ya usumbufu.Kama vyombo vya habari vikiripoti kuhusu mikutano ya wapinzani wanapigwa faini sembuse hilo la Makonda? Hakuna cha uzalendo ila vyombo vya habari vimewekwa mfukoni. Wakitangaza tu, faini
It is an indication that the media is controlled. News are censoredNaunga mkono hoja, hapa kanuni ya uzalendo applies.
Makonda ni mteule wa rais wa JMT, Wamarekani are outsiders, hivyo media ya Tanzania imeshikamana na mteule na kuwapuuza mabeberu.
P
Paschal Mayalla ni mwandishi wa habari asiye mnafiki ana future nzuri sana ninakutia moyo brother wewe mzalendo sana unatakiwa uchukue nafasi ya Dr Abbas
Diplomasia yenyu iliporomoka to negative levels tangu Magufuli alipo ingia madarakani.nazi haishindani na jiwe itapasuka tu..tusijitoe akili watanzania kwenye hili swala linahatarisha diplomasia yetu iliyojegwa kwa jasho na damu na mwalimu nyerere..
ni lazima viongozi wetu wajue mipaka yao sio kila kitu ni kujimwambafai..
ππππNaunga mkono hoja, hapa kanuni ya uzalendo applies.