Kilichonishangaza kwenye Taarifa ya habari, ni chombo kimoja kilichorusha habari ya Makonda. Huu ni utaratibu mzuri dhidi ya Mabeberu

Looo! mkuu, inanilazimu nikubaliane na unayoandika hapa, maana naona umenichanganya au umejichanganya mwenyewe kiasi cha kutotambua ni kipi hasa unachong'ang'ania katika mada hii!
 
Lazima uchanganyikiwe na kutoelewa maana hujui nini maana ya "katiba na sheria". Ni sawa na kuwa Mkristo bila kufuata The Holy Bible au Muislam bila kufuata Quran lazima ufanye mambo ajabu. Soma kuanzia reply yako ya kwanza mpaka ya sasa. Utajua kitu gani kinazungumziwa
Looo! mkuu, inanilazimu nikubaliane na unayoandika hapa, maana naona umenichanganya au umejichanganya mwenyewe kiasi cha kutotambua ni kipi hasa unachong'ang'ania katika mada hii!
 
Eti amekuwa condemned unheard , Acha kulinganisha Taifa la Marekani Kama Kamati ya Bunge ilivyokuitq ,Iran na Urusi.mataifa makubwa wala hawawaiti kwenye majadiliano
 
Aiseee, sijawahi kujibizana na mchangiaje anayejichanganya kama wewe hapa JF
Naona hiki ni kipaji ulichojaliwa pekee yako kuwa nacho, na sio mtu mwingine yeyote.

Seriously, kama kweli unaelewa unachochangia hapa, rudi mwanzo ukasome bandiko langu ulilonijibu mimi, na endelea kusoma majibishano yetu hadi kwenye mchango wangu huu.

Ukiridhika kwamba ni mimi niliyechanganyikiwa katika haya tunayojibishana, niko tayari kabisa kukuomba msamaha kwa kujichanganya kwangu na nisijue ninachochangia.

Sidhani kuwa unaweza kuwa na ujasiri huo.
 
In a negative way. Thank you.
 
Pasco kapokee bahasha yako kwa Msigwa. Umeweka tumbo lako mbele kuliko mustakabali wa Taifa letu. Huu ni ubinafsi uliopitiliza.

Nendeni mkajifunze Zimbabwe, Mugabe alikuwa na wapambe wapumbavu kama hivi ila leo wanakula nyasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KWANI WAKINIZUIA KWENDA MAREKANI NITAKUFA WAKATI WAGANGA WENGI WAPO HUKU AFRICA!!! HATUNA MPANGO WA KWENDA KWAO.CONGO NA NIGERIA KUNANITOSHA KUJIWEKA SAWA NA KUCHAJI POWER BENKI ZETU
 
nukuu nyingi za mh mbowe amesema hataki damu imwagike that'sway wamekuwa wapole sana hata ktk kudai haki zao za msingi kwa maslai ya taifa kwa ujumla,but still wakuu wa serikali wamekuwa wanabeza..so what next? ndio haya anayafanya mh zito sasa(indirect fighting) labda viongoz watasikia kupitia upande wa pili....
 
Hivi ni kweli kuwa yeye ndio anaxui watu wake kumwaga damu? Mbona hali halisi inaonyesha kuwa watu hao wanahama chama kila wiki? au alimaanisha kumwaga damu kimtandaoni zaidi? Lakini sidhani kama technolojia imeshafika huko🙂
Sent using Jamii Forums mobile app
 
WEWE MPUUZI ENGLISH HAIPANDI. SURA MBAYA KAMA TRACTOR YA MKOLONI
 
Umeshaona?

Endeleeni kujipendekeza kwa makaburu, hawanaga urafiki na mtu zaidi ya interests zao...Baada ya kuwaona hamna impacts wamewa flash ka tp
 
vitisho,na hongo za pesa ndio siraha inayotumiwa na CCM kuyafanya hayo unayozungumza
 
Ujinga kwako sio ujinga kwa taifa. Swala la Makonda sio la kitaifa ni binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…