Elections 2010 Kilichonishtua Juu Ya Dr Slaa Pale Mwembetogwa

Kama una frustrations zako nyingine ziwezi kukusaidia. Maswali nimeyaona na aliyeuliza hakunilazimisha niyajibu. Kuna maelezo ya jumla nimeyatoa kutokana na maswali hayo. Mengine nitajibu nitakapotaka na kama nitaweza kuyajibu yote siwezi kusema sasa. Mimi ni mtu huru na najivunia uhuru wangu. Nina maisha yangu mengine. Yanahitaji muda wangu pia.
Ni bora ukafanye maisha yako mengine kuliko kujikombakomba, Kwa taarifa yako nilikua field Pale DailyNews Nafasi za kupachikwa kwa sasa zimejaa. kama ulikua unategemea ka promo imekula kwako.
 
Kama una frustrations zako nyingine ziwezi kukusaidia. Maswali nimeyaona na aliyeuliza hakunilazimisha niyajibu. Kuna maelezo ya jumla nimeyatoa kutokana na maswali hayo. Mengine nitajibu nitakapotaka na kama nitaweza kuyajibu yote siwezi kusema sasa. Mimi ni mtu huru na najivunia uhuru wangu. Nina maisha yangu mengine. Yanahitaji muda wangu pia.

Jibu hoja kwa hoja acha vioja bwana MAJID MJENGWA aka MAGGID.
 
JMushi,

Kuna mwandishi wa habari alikamatwa na kufikishwa kwa Idi Amin. Aliamini kuwa ungekuwa ni mwisho wake. Idi Amin alitamka na kumwuliza mwandishi yule swali moja tu; " Nyinyi waandishi wa habari mnaandika mambo mengi mbaya kuhusu mimi. Sasa nikuulize kijana, hivi katika yote ninayoongea na ninayoyafanya hakuna hata moja lililo zuri?" Mwandishi yule akajibu; " Yapo mengi Mkuu".

Idi Amin akatamka; " Basi, nenda kaandike moja tu lililo zuri kuhusu mimi!" Tafakari.

Sasa wewe ni mwandishi wa habari? mwandishi wa makala? au chambio la mafisadi?.
 
Ndugu yangu Majid huwa nakuheshim sana kwenye uandishi wako, lakini hapa hujawatendea haki watanzania. unaonyesha una mwelekeo wa kumpigia debe mpinzani wa Dr. Slaa. Tungeweza kukuelelewa vyema kama ungetuletea ulinganifu wa wagombea wote uliowahi kuhudhuria kampeni zao kwa kutupa nguvu zao na mapungufu yao. kutoa profile ya mtu mmoja ni kupungua kwa umakini katika uandishi usababishwao na ishabiki usio na tija
 
Sasa wewe ni mwandishi wa habari? mwandishi wa makala? au chambio la mafisadi?.

Mimi ni maggid tu. Wewe ni nani? Mwenzako niko huru. Kwa nini unaficha utambulisho wako? Nami ngependa kufahamu nazungumza na nani. Haitoshi kujiita ´nipo nipo' . Jenga ujasiri, sasa!
 
JMushi,

Kuna mwandishi wa habari alikamatwa na kufikishwa kwa Idi Amin. Aliamini kuwa ungekuwa ni mwisho wake. Idi Amin alitamka na kumwuliza mwandishi yule swali moja tu; " Nyinyi waandishi wa habari mnaandika mambo mengi mbaya kuhusu mimi. Sasa nikuulize kijana, hivi katika yote ninayoongea na ninayoyafanya hakuna hata moja lililo zuri?" Mwandishi yule akajibu; " Yapo mengi Mkuu".

Idi Amin akatamka; " Basi, nenda kaandike moja tu lililo zuri kuhusu mimi!" Tafakari.

Ningependelea ujibu hoja kutokana na yale niliyoyajibu kwenye makala yako,nimezungumzia zile ulizoziita "Dhaifu" na nikakuelezea ni kwanini si dhaifu...So unijibu ni kivipi sababu zangu nilizozitoa hazimake sense dhidi ya hizo dhaifu ulizozimention,nime analyze moja baada ya nyingine,na kama bado unaamini kuwa dhaifu zako bado zina make sense,then weka wazi why,sidhani kama ni tatizo kubwa kwa mtu ambaye ni mwandishi.
 
Mushi mdogo wangu,

Ndio maana ya demokrasia hiyo. Na wewe umesomea mambo hayo mpaka Ulaya . Hatuwezi kukubaliana kwa kila kitu. Katika uliyoyaandika kuna nayokubaliana nawe, mengine hapana. Katika maisha, hata ya kisiasa kuna kutokubaliana. Wakati mwingine tuwaachie wengine wasome na waamue. Hayo unayosema wewe kuwa hayana maana, kuna watu wa CHADEMA wamenipigia simu kunishukuru. Hao nao wanatofautiana na wewe hata kama mko chama kimoja. Na katika diplomasia husemwa; "tumekubaliana kutokubaliana". Naomba mdogo wangu tukubaliane kwa hilo.
 
Mjengwa mbona hukutuambia ulichokiona uwanja wa Sanora alipotembelea JK na pia kutoa uchambuzi wa strengths na weaknesses zake. Bado inaonekana unaogelea kwenye dimbwi la kutaka kutuaminisha CCM na JK are perfect na wengine ni wakulinganishwa.

There you are! Mbona hulking kuhusu ridhiwani?
 
Huyu Mjengwa ni mmoja kati ya wale waliodandia field ya uandishi bila ya kupata mafunzo ya kina. Huyu si muandishi bali ni mbabaishaji tu. Asiwaumize vichwa kabisa.
 
Maggid kama unaona unachoandika ni fikra zako shida ya nini kujibu mmoja baada ya mwingine endelea kuandika fikra zako. Acheni kuipotosha jamii kwa kujifanya mnaandika kisomi. Mbona viongozi wengine wa upinzani hutoi tathmini zao umeona Chadema tu.. Kweli you are finishing and firing yourself out. Wewe endelea kutuandikia habari za chai na chapati haya mengine waachie wenyewe.
 
Duu nyie watu, mmedata:

Chai Na Chapati Ya Maji Nyumbani Kwa Kaka Michuzi

Leo nilipata heshima ya kukaribishwa nyumbani kwa ndugu yangu Muhidin Issa Michuzi. Hapo nikakaribishwa chai ya nguvu iliyowekwa viungo na kitafunwa cha chapati ya maji. Mchana ukaingia, ikawekwa pilau ya nyama mezani na vyote vyenye kuendana nayo. Basi, nikiwa na Michuzi huwa tuna mengi ya kuongea, kukumbushana na kucheka pia. Nikirudi Iringa nitajitahidi nipike chapati ya maji!

Maggid kama unaona unachoandika ni fikra zako shida ya nini kujibu mmoja baada ya mwingine endelea kuandika fikra zako. Acheni kuipotosha jamii kwa kujifanya mnaandika kisomi. Mbona viongozi wengine wa upinzani hutoi tathmini zao umeona Chadema tu.. Kweli you are finishing and firing yourself out. Wewe endelea kutuandikia habari za chai na chapati haya mengine waachie wenyewe.
 
Wanatafuta ujiko kwa nguvu ndani ya chama filisi cha mafisadi, labda nao wanaweza kukumbukwa wakapewa ukuu wa wilaya. Bora tu uandike kuhusu chai na chapati. Achana na habari zilizokuzidi kimo.
 
Mushi mdogo wangu,

Ndio maana ya demokrasia hiyo. Na wewe umesomea mambo hayo mpaka Ulaya . Hatuwezi kukubaliana kwa kila kitu. Katika uliyoyaandika kuna nayokubaliana nawe, mengine hapana. Katika maisha, hata ya kisiasa kuna kutokubaliana. Wakati mwingine tuwaachie wengine wasome na waamue. Hayo unayosema wewe kuwa hayana maana, kuna watu wa CHADEMA wamenipigia simu kunishukuru. Hao nao wanatofautiana na wewe hata kama mko chama kimoja. Na katika diplomasia husemwa; "tumekubaliana kutokubaliana". Naomba mdogo wangu tukubaliane kwa hilo.

Ndugu yangu Maggid nadhani humu kwenye jamvi kunawatu ni wazembe wa kufikiri! makala yako ni nzuri sana, maana inatoa mwelekeo wa siasa za upinzani katika hiki kipindi, na kijacho na wafanye nini ili kuuteka umma wa watanzania. Unajua huwezi kuona madhaifu yako yote, sasa wewe umewaeleza hata kumbe hawakuwaambia wapiga kura wao wa Iringa kwa nini wasimchague Monica!, hapo siasa za upinzani zinahitaji safari ndefu! huo ni ukweli watu watabisha lakini ndungu yangu maggid fikira zako zitakuja kueleweka hapo baadaye. Ila kama makala hii wameisoma watu wa chadema na kukushukuru basi wamefanya vyema, na watazidi kujifunza.
 
Wewe tushakuzoea pro-CCM? Analysis zako hazina mashiko

Mkuu nakubaliana na wewe. Lakini pia tukumbuke hapa JF tuko wengi tuna namna tofauti za kuchambua mambo, mitizamo tofauti, ushabiki tofauti, ambition tofauti, background tofauti etc. Hivyo hatutegemei wote kushabikia chama kimoja au kukubaliana na hoja zote zinazotolewa. Kila mmoja anahaki ya kutoa mawazo yake kulingana na mtazamo wake. Hivyo si haki kutoa comment kama hiyo.
 
Makala za Maggid hazina mvuto kama vile za Bagenda, tatizo lake anaandika vitu vilivyo nje ya uwezo wake. Hajui uchambuzi wa kisayansi na kisomi nadhani yeye angefaa zaidi kuwa mpiga picha au angalau ripota lakini sio mchambuzi. Uwezo wake wa kuchanganua mambo sio mkubwa. Hata ukiangalia milinganisho (analogy) yake zake katika makala zake kunakuwa hakuna mlingano. (makala zake huunza na kisa kisha hujaribu kujenga hoja juu ya hicho kisa) lakini ajabu kunakuwa hakuna ulinganifu kabisa.

Jikombe sana kwa CCM , unaweza kuambulia kuziba nafasi ya Nape pale Lumumba

zakwako zenye mvuto na zilizo ndani ya uwezo wako ziko wapi tuzisome? uchambuzi wako wa kisayansi na kisomi uko wapi ndugu nikazisome? labda mwenzetu unauwezo wa kuchanganua mambo na labda makala zako ni more analogy!!! tafadhali naomba nisome makala zako ili niweze kuzilinganisha na za Majjid kwani unaonesha wewe ni mahiri zaidi ili tunufaike na uchambuzi wako!! usiandike kwa mate na hali wino upo!!!
 
Mjengwa na rafiki yake Michuzi ni waganga njaa wa CCM ; huku kujidai anafanya analysisi ya Slaa ni kujibaraguza tu!! Level ya education yake haimruhusu kuweza kuelewa Dr. Slaa anafafanua nini!! He is just a bogus blogger.
Yah,tatizo lake ni elimu.Kuna tofauti kati ya analysis ya Simba na Yanga na analysis ya ishu nzito kama hii ya namna Dkt Slaa anavyojiandaa kuingia Ikulu.Mjengwa,unajitahidi kuficha u-Kikwete wako kwa kujidai eti kuongelea "mazuri" ya Dkt Slaa!Mbona hujawahi kufanya analysis kumhusu Kikwete na kujumuisha weaknesses zake?

2010 HATUDANGANYIKI!
 
zakwako zenye mvuto na zilizo ndani ya uwezo wako ziko wapi tuzisome? uchambuzi wako wa kisayansi na kisomi uko wapi ndugu nikazisome? labda mwenzetu unauwezo wa kuchanganua mambo na labda makala zako ni more analogy!!! tafadhali naomba nisome makala zako ili niweze kuzilinganisha na za Majjid kwani unaonesha wewe ni mahiri zaidi ili tunufaike na uchambuzi wako!! usiandike kwa mate na hali wino upo!!!

Ah,kujiunga leo na leo na kushikia bango la utetezi?Mapacha wa Mjengwa au Mjengwa mwenyewe?

Haihitaji jambo baya la pili kuthibitisha ubaya wa la kwanza.Haihitaji makala "za akili" ili kutambua mapungufu ya za Mjengwa.Kwani,kwa mfano,ni lazima kuwe na ugonjwa mwingine ili jamii iweze kufahamu ubaya wa ukimwi?

Wewe mwenye akili nyepesi unaweza kumtaka kila anayemkosoa Mjengwa nae aandike ili nae aweze kuchambuliwa.Unachosahau hapa ni ukweli kuwa si kila mtu ana kimbelembele kama cha Mjengwa.Ndio.Kuna chambuzi za kutumwa (kama huko Daily News) na hizi za kujipendekeza kwa mafisadi zinazoandikwa na akina Mjengwa.

Kabla hujakurupuka kusifia uchambuzi huu ni vema ukarejea chambuzi zilizopita ili uweze kufahamu ubabaishaji na unafiki wa Mjengwa.Kwa mfano,kwanini uchambuzi wake hapa ni sifa na mapungufu ya Dkt Slaa na Chadema lakini ikija ishu ya Kikwete na CCM inakuwa sifa zaidi ya sifa kaa Kikwete,mkewe na mtoto wao Riziwani,no mapungufu then kwa kujikosha mapungufu yatakayozungumziwa na Mjengwa ni ya CCM na sio Kikwete.

TAFUTA MAHALA POPOTE PALE AMBAPO MJENGWA AMEWAHI KUMKOSOA KIKWETE kisha tuwekee hapa (na simaanishi "expert analyses zake za uchaguzi " pekee BALI MAKALA YOYOTE ILIYOWAHI KUANDIKWA NA MJENGWA.
 
Mjengwa Maggid ana akili za kobe! Anasahau haraka sana
 
TAFUTA MAHALA POPOTE PALE AMBAPO MJENGWA AMEWAHI KUMKOSOA KIKWETE kisha tuwekee hapa (na simaanishi "expert analyses zake za uchaguzi " pekee BALI MAKALA YOYOTE ILIYOWAHI KUANDIKWA NA MJENGWA.

Atathubutu kufanya hivyo naye ni mtetezi wa mafisadi? labda hiyo makala aiandike leo.
 
Back
Top Bottom