Mzawa Nation
Member
- Feb 15, 2017
- 50
- 53
kama single usizile kama una manzi kula ukafidishie buku 10 kwake😀
Unajiita wa mjini umekutana na wenye mji
HahaUnapita mtaa gani nikuungie mwanangu machenjele??
Unapita mtaa gani nikuungie mwanangu machenjele??
Duh,tutupie pic tukuone nahilo kapu km umependezaa ay lahKuna muuza karanga kanifanyia umafia hadi nimejishangaa maana Nilikua najiamini kuwa me born town. Nimenunua Kwake karanga za 100 kumbe mfukoni nilikua na msimbazi moja tu. Basi ameniomba nimsubiri akatafute change me nibaki na kapu lake la karanga. Sasa ni masaa mawili tangu aondoke hajarudi. Nimepiga hesabu karanga zilizopo ni za 10,000 kwa hiyo hapa ndo nimeanza kuzitembeza ili nirudishe ten yangu. Maisha haya* jamani
Shukuru umepata ajira!
Pole Mkuu,siku hizi lazima kuwa mwangalifu sanasana kwenye haya mambo ya fedha Na manunuzi..hapo labda hizo karanga hazifi hata elfu tano ameuza jumla.
Duh,tutupie pic tukuone nahilo kapu km umependezaa ay lah