Mzawa Nation
Member
- Feb 15, 2017
- 50
- 53
Kuna muuza karanga kanifanyia umafia hadi nimejishangaa maana Nilikua najiamini kuwa me born town. Nimenunua Kwake karanga za 100 kumbe mfukoni nilikua na msimbazi moja tu.
Basi ameniomba nimsubiri akatafute change me nibaki na kapu lake la karanga. Sasa ni masaa mawili tangu aondoke hajarudi. Nimepiga hesabu karanga zilizopo ni za 10,000 kwa hiyo hapa ndo nimeanza kuzitembeza ili nirudishe ten yangu. Maisha haya* jamani