Punguza wivu utakufa na pressure ndugu mvua zimeanza tulime, kwa kufauta maelekezo ya watalamu wa kilimo, ili mwakani kipindi cha mwezi wa saba wa nane tuuze na sisi twende Dubai inawezekama kabisa763 WAMEKWENDA KUTALII UAR, WANAPONDA HELA, SASA WEWE UNASEMA NINI? NDIYO CCM WANAYOISHABIKA
Uko kannisani mnawapa matapeli haoMwezi wa kutoa fungu la kumi kanisani huu
Hilo ni jukumu la serikali ambayo ina billions of money.763 WAMEKWENDA KUTALII UAR, WANAPONDA HELA, SASA WEWE UNASEMA NINI? NDIYO CCM WANAYOISHABIKA
Tunachangia wapi ndugu? Nani anakusanya?πNi haki ya kila mwenye uwezo wa hali na mali kuchangia
Serikali inao uwezo wa kuwasaidia wahanga. Wawajibike wao763 WAMEKWENDA KUTALII UAR, WANAPONDA HELA, SASA WEWE UNASEMA NINI? NDIYO CCM WANAYOISHABIKA
Kwanini zisifike lazima jitahada wafanye zifikeNi vizuri kuchangia tu na kama hazitafika kwa mlengwa Mungu atakubariki tu na huyo atakayeiba Mungu atashughulika naye lakini kwako utakuwa umepata baraka ya utoaji.
Umesahau kimara temboniKuna watu ving'ang'anizi hawatakuelewa, ukitaja sadaka tu tafsiri yake ni Kawe, Mwenge, Mikocheni, Kibangu nk
Chama Chavu Ccm Kimeanza Kama Ya JiweMnataka mpige tena fedha za rambi rambi? Mwaka huu hatutoi
πππTunachangia wapi ndugu? Nani anakusanya?π
Utapigwa TuUshauri mzuri...