Kilichopo Manyara ni humanitarian crisis. Saidia familia hata moja na utazidishiwa zaidi

Kilichopo Manyara ni humanitarian crisis. Saidia familia hata moja na utazidishiwa zaidi

Rudisheni kwanza zile pesa zilizochangwa za tetemeko la Kagera/Bukoba ndio mtuambie tuchange tena za Manyara. Maana mpaka leo za tetemeko hazijawafikia wahanga.
Lahaulaaa! Dah! Inji hii..... 😭 😠
 
Punguza wivu utakufa na pressure ndugu mvua zimeanza tulime, kwa kufauta maelekezo ya watalamu wa kilimo, ili mwakani kipindi cha mwezi wa saba wa nane tuuze na sisi twende Dubai inawezekama kabisa
CC: Machawa wote wa mama.
 
Misafara imeshapigiwa kelele mno.
Mwenge tu una msafara wa gari zaidi ya 100.
 
Unapata wapi imani nao? Watatupiga hawa
Hapana wala usiogope ni watu na heshima zao na hawana njaa na Imani zimewajaa tele
Na mimi nikiwa mmoja wao
Huwezi kuwajua ila kwenye misaada na michango kama wanatusoma watakutaarifu tu kama una nia ya kusaidia hata 20,000
Ni kusaidiana tu kwa wenye uhitaji, hata kama wangeanzisha mfuko wa kuwasaidia wangetafuta watu walioko huko na tungesaidia hata mashuka na mablanketi au hela na wao wananunua
Usijali huwa wanakuuliza kwanza kama unataka kuchangia sio lazima wala sio utapeli kabisa uwe na amani
 
sema jamani ccm inafanya mambo ya ajabu sana.

kwenye kikao dubai watu 700 wameenda kwa malipo ya posho mpaka ghalama za malazi na chakula wakiwa huko,si chini ya $2500 kila mtu.

hapa kwenye janga naona zinaanza dana dana,wakati lilikuwa swala jepesi kabisa.kwamba wahanga wote na wafiwa serikali ya ccm itawalipa milioni 2 tu kila familia kama pole na mkono wa kujiokota upya,ila waapi.

watu wenyewe sijui kama wanafika 700.

Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
 
Kwanini zisifike lazima jitahada wafanye zifike
Haya mambo ya kusema sijui mungu atakubariki ,kama umetoa na zisifike
Wale waroho walaji hata hawajali
Msemo huo
Pesa kama zitachangwa lazima zifike

Ova
Ninashukuru kwa msimamo huo. Lazima zifikwe. Shida ni nani wa kuhkikisha zimefika na taarifa kamilifu itolewe. SI kufa kufaana tu hapa. Nchi hii ngumu. Gari inapata ajali watu wanawaibia marehemu.
 
Back
Top Bottom