Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Kwa sasa hali ya hewa ndani ya Simba sc haipo sawa baada yakuibuka madai tofautofauti juu ya Muwekezaji wao Mo Dewji kuidai Simba pesa zake ambazo alikuwa anazitoa nje ya mkataba wake wa uwekezaji wa Bilioni 20.
Hayo yalibainishwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba upande wa Wanachama CPA Issa Masoud
"Lakini cha ajabu kilichotokea ni kwamba tuliletewa taarifa kwenye kamati yetu ya ukaguzi,kwamba fedha zote Mo alikuwa anatoa za kununua mchicha,kandambili,boxer za wachezaji zozote alizotoa kwenye Simba sport club anazidai na alielekeza zibadilishwe na ziwe mtaji wake ambao anatakiwa autoe SImba sc,kama ni ishu ya kukopa hizo hela kwani lazima tukope kwa Mo taasisi za fedha si sipo nyingi tunaweza tukakopa,kwanza kama ni mkopo aujafata taratibu"
sasa ukilitazama hili jambo inaonyesha ni vita kwa kimasilai ndani ya Simba ambayo ipo na imefikia hatua mwenye nguvu kutumia nguvu aliyokuwa nayo ili apate faida yeye kiukweli ni kwamba Mo Dewji anaitaka Simba iwe yake yani aimiliki yeye kila kitu,sasa inaonekana amezungumza na viongozi wake ndani ya Simba inaonyesha ajapata majibu mazuri na kuna mgawanyiko kuna wale wanaotaka Simba iwe mazima kwa Bw Mo na kuna wengi awataki iwe kwa Mo .
Hii sasa Mo anaamua kutumia njia nyingine ili afanikishe jambo lake,na mara kadhaa Mo Dewji kwenye mahojiano na vyombo vya habari amewahi kusema miongoni mwa jambo kubwa ambalo amaelifanya ni kuinunua Simba Sc.
Kupitia kauli hii na nyingine za Bw Mo Dewji inaonyesha wazi anaitaka Simba iwe timu yake kama ilivyo Azam fc.
Mimi naachia hapo!
Pia Soma: Kimeumana: Mo ameanza kudai Hadi pesa zilizonunua mchicha, ndala na boxer za wachezaji