Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Ukiona mtu anatumia maneno 'inaonyesha', 'inaonekana', 'inasemekana', 'ukitazama' nk ujue hiyo stori ni mawazo yake, wala haina uchunguzi.sasa ukilitazama hili jambo inaonyesha ni vita kwa kimasilai ndani ya Simba ambayo ipo na imefikia hatua mwenye nguvu kutumia nguvu aliyokuwa nayo ili apate faida yeye kiukweli ni kwamba Mo Dewji anaitaka Simba iwe yake yani aimiliki yeye kila kitu,sasa inaonekana amezungumza na viongozi wake ndani ya Simba inaonyesha ajapata majibu mazuri na kuna mgawanyiko kuna wale wanaotaka Simba iwe mazima kwa Bw Mo na kuna wengi awataki iwe kwa Mo .