Kilichopo nyuma ya pazia Mo Dewji kuonekana kuidai Simba mabilioni ya pesa

Ukiona mtu anatumia maneno 'inaonyesha', 'inaonekana', 'inasemekana', 'ukitazama' nk ujue hiyo stori ni mawazo yake, wala haina uchunguzi.
 
Hili hata mahakamani litaamliwa, ni suala la mahesabu tu na uzuri BOT wanajua kama anazo sifa za kukopesha au hana. Ndo uzuri wa kizazi kilichofaulu hisabati

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…