Kilichopo nyuma ya pazia Wema Sepetu kujiunga na Wasafi

Kilichopo nyuma ya pazia Wema Sepetu kujiunga na Wasafi

Mchezo wao umeshamalizwa nguvu na zari. Kama kweli makonda ana nguvu ya ushawishi abadili msimamo wa zari kumrudia dai. Wasafi tv&radio kiki ishakufa zamaan saiv watatembelea jina kwa miaka miwili mitatu baada ya hapo chali kama sio wao walioingilia fani za watu kwa mbwembwe
Numbisa Hukuwai Sema Kitu Cha Uwongo

Ngoja Tuone
 
.
25950861103c602e63389a5436b4bc96.jpg
Nini wewe unaniangalia kwa jicho la hasira namna hiyo, unanijua? Hunitishi na wala sikuogopi, rusha ngumi uuone mziki wake ulivyo mtamu
 
Huu ushenz unanichukiza sana

Clouds Ni ccm
Wasafi TV Ni ccm

Siku wakiamua kuweka tofaut zao pembeni wanamabadiliko tutabak tumeduwaa tu

Tuzikatae zote hizo media za mabadiliko Ni Itv na ipp angalau na azam anajtahid kwa umbali

Huwez kyshuhudia mijadala ya kipuuzi Itv km wanavyofanya Hao clouds
 
Una logic mkuu,upinzani ni wakati sasa wa kuwa na mkakati wa kuwa agenda kwenye media na sio kuyaaachia maccm yatambe
 
Mchezo wao umeshamalizwa nguvu na zari. Kama kweli makonda ana nguvu ya ushawishi abadili msimamo wa zari kumrudia dai. Wasafi tv&radio kiki ishakufa zamaan saiv watatembelea jina kwa miaka miwili mitatu baada ya hapo chali kama sio wao walioingilia fani za watu kwa mbwembwe
Umetumia vigezo gani mpaka kuaminisha watu kutwa zari na mond wameachana mazima?
 
Hizi ni propaganda za clouds dhidi ya wasafi kama kawaida yao wasiotaka kushindwa.Mondi goooo ni muda wako huu
 
mshana jr nilisikia kuwa Zari as a bisnesswoman alitamani kumcontrol na kumnyanyua Dai ila kikwazo kilikuwa mtu mmoja ambaye ndiye alikuwa anammilk Dai tumuite R. R kina anapoona Zari anajidhatiti, yeye anamleta Wema na kuonesha wanarudiana na Dai. Kawa vile Zari ana wivu sana, inabidi awe busy na kuhakikisha Wema hasogelei Dai na dili za R zinapeta. Je, haiwezekani ukawa ni mkakati wa R nao huo?
 
Well said wanacheza mchezo mchafu lakini mwisho upo na utakuwa mbaya sana. huyo Bashite ni zero brain atashindanda na mtu mwenye ujuzi wapi na wapi.. but all in all acha awanyooshe hao Clouds walijibeba sana kwa hilo FALA.

Huyu ndio maana hata hana mbegu haki alivuruga mahusiano kwa kumwozesha Zama houseboy ambaye hata hadhubtu kupiga nae pic now amehamia kwingine haki God is watching you BASHITE

Ulishawahi kuona Zamaradi kapiga na Ruge kipindi wana-date
 
Mchezo wao umeshamalizwa nguvu na zari. Kama kweli makonda ana nguvu ya ushawishi abadili msimamo wa zari kumrudia dai. Wasafi tv&radio kiki ishakufa zamaan saiv watatembelea jina kwa miaka miwili mitatu baada ya hapo chali kama sio wao walioingilia fani za watu kwa mbwembwe
Kwahiyo unataka kusema Zari ni jina kubwa kuliko Diamond sio!!

Kama jibu lako ni NDIYO, unaweza kutujuza kabla ya uhusiano wa Zari na Diamond; Watanzania walikuwa wanamfahamu Zari kupitia nini hasa?!
 
Uzuri ruge huwa haongei......
Nadhani muda Ndio utaamua na Ndio utakuja kuwa mwisho wa mmoja wapo!

Ruge ameshatukiswa sana na Ant- virus na Vinega Mara TID Mara Rubi na wengine Wengi!

Na wabongo huwa wanaushabiki wa muda hasa nikiangalia hao waliokuwa wanapambana na clouds walipongezwa sana ila muda Ndio uliamua!

Nadhani Diamond angefikiri vizuri na wanaomzunguka wangemshauri vizuri ila bahati mbaya hawaoni hili ingawa siungi mkono hicho ambacho huwa wanalamika kusema clouds inawanyonya( kama ni kweli)

Muda ni hakimu wa kweli
 
Back
Top Bottom