Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Numbisa Hukuwai Sema Kitu Cha UwongoMchezo wao umeshamalizwa nguvu na zari. Kama kweli makonda ana nguvu ya ushawishi abadili msimamo wa zari kumrudia dai. Wasafi tv&radio kiki ishakufa zamaan saiv watatembelea jina kwa miaka miwili mitatu baada ya hapo chali kama sio wao walioingilia fani za watu kwa mbwembwe
Nini wewe unaniangalia kwa jicho la hasira namna hiyo, unanijua? Hunitishi na wala sikuogopi, rusha ngumi uuone mziki wake ulivyo mtamu
kabisa!!Kama Kuna Mwanzo Bass Huwa Naamin Kuna Mwisho
Let Me See It This Movie
Una logic mkuu,upinzani ni wakati sasa wa kuwa na mkakati wa kuwa agenda kwenye media na sio kuyaaachia maccm yatambeHuu ushenz unanichukiza sana
Clouds Ni ccm
Wasafi TV Ni ccm
Siku wakiamua kuweka tofaut zao pembeni wanamabadiliko tutabak tumeduwaa tu
Tuzikatae zote hizo media za mabadiliko Ni Itv na ipp angalau na azam anajtahid kwa umbali
Huwez kyshuhudia mijadala ya kipuuzi Itv km wanavyofanya Hao clouds
i've never be like nyum..bu!,what i know,i can judge!,think,search,solve and make it perfect..
Umetumia vigezo gani mpaka kuaminisha watu kutwa zari na mond wameachana mazima?Mchezo wao umeshamalizwa nguvu na zari. Kama kweli makonda ana nguvu ya ushawishi abadili msimamo wa zari kumrudia dai. Wasafi tv&radio kiki ishakufa zamaan saiv watatembelea jina kwa miaka miwili mitatu baada ya hapo chali kama sio wao walioingilia fani za watu kwa mbwembwe
Well said wanacheza mchezo mchafu lakini mwisho upo na utakuwa mbaya sana. huyo Bashite ni zero brain atashindanda na mtu mwenye ujuzi wapi na wapi.. but all in all acha awanyooshe hao Clouds walijibeba sana kwa hilo FALA.
Huyu ndio maana hata hana mbegu haki alivuruga mahusiano kwa kumwozesha Zama houseboy ambaye hata hadhubtu kupiga nae pic now amehamia kwingine haki God is watching you BASHITE
Kwahiyo unataka kusema Zari ni jina kubwa kuliko Diamond sio!!Mchezo wao umeshamalizwa nguvu na zari. Kama kweli makonda ana nguvu ya ushawishi abadili msimamo wa zari kumrudia dai. Wasafi tv&radio kiki ishakufa zamaan saiv watatembelea jina kwa miaka miwili mitatu baada ya hapo chali kama sio wao walioingilia fani za watu kwa mbwembwe
Mtaalamu wa mambo ya giza huyo atajua namna ya kukufanyaNini wewe unaniangalia kwa jicho la hasira namna hiyo, unanijua? Hunitishi na wala sikuogopi, rusha ngumi uuone mziki wake ulivyo mtamu