Kilichopo nyuma ya pazia Wema Sepetu kujiunga na Wasafi

Umenena vema sana Mkuu..

Tatizo naloliona ni moja kubwa..

There's no a single move/mission that has been geared by Bashite ambayo imewahi kufanikiwa..

Iwe nzuri au mbaya, he is the best failure!

Ngoja tuone hii.
Tuweke rekodi vyema,
alifanikiwa kupata mgawo wa poda,alipata migari na urafiki na wauza poda ambao ndo wanarun dar, kajipatia mademu
 
Zari ndio nani?
 
gazeti la Tanzanite ndio linaongoza kwa mauzo Tanzania
 
we jamaa hivi unakula nini umpe mwenzio aelewe.....
 
Unaelewa sana aisee,nimependa unatia moyo kila lenye mwanzo na mwisho pia upo ipo siku ambayo haina jina . kudo.Ngoma ikilia sana'.......
 
Umenena vema sana Mkuu..

Tatizo naloliona ni moja kubwa..

There's no a single move/mission that has been geared by Bashite ambayo imewahi kufanikiwa..

Iwe nzuri au mbaya, he is the best failure!

Ngoja tuone hii.
Halafu hajagundua na waliomzunguka pia hawajawahi kuliona hilo maajabu.
 
Unaelewa sana aisee,nimependa unatia moyo kila lenye mwanzo na mwisho pia upo ipo siku ambayo haina jina . kudo.Ngoma ikilia sana'.......
Tukifikiria chanya (na si nje ya box) basi lazima kwa hali ya sasa utaumia kama si kwa ww binafsi basi hata rafiki ama ndugu(kumbuka watz wote ni ndugu) ukiona hujaguswa popote pale unahitaji kujitafakari sana,,naamini ktka kilio cha mnyonge ila jua hasira ya Mungu huangamiza maelfu na mamilioni ,,usidhan hasira ikiwa juu yake utasalimika ,, hakuna wa kusalimika,,

Kama mwanadamu unayejiita unahofu ya "mungu" yes mungu wao ,,na kutaka kuombewa kila siku,, basi ajitafakari hata sec .moja ,,

Moyoni nimejaa chuki mno,je ni wangapi?? Kuna kitakachobadilika ?? Yes kipo naamini ktk umri hata iweje lazima utabadilika na narejea kusema "kuna siku tutalamba asali na maziwa ,,, kama si sisi basi hata kizazi changu kijacho
 
Kete yangu bado ipo kwa ruge

Japo za kunyapia nyapia inasemekana kuwa hiyo wasafi TV na wasafi Radio ni project za mr kusaga ( wana bifu flan kati yao ruge na kusaga)
Point...
Tatizo share...
Kusaga kumvua ruge ipo kazi pevu....
Hizo ni njia moja wapo.....mawingu itanyongwa pole pole...!
 
Big mind
 
Umeongea ukweli mkuu naiyona hata ile redio tuliyo sema imekuja kuwa pindua clouds EFM..sahizi ni kama nguvu inapungua..

ujio wa Wasafi TV& Redio sidhani kama Clouds wata adhirika sana ila naona watakao adhirika zaidi ni EFM
 
Huyo R ndo nani?
 
natamani watu wangejua kati ya diamond,fella,sallam au tale kuna mmoja ana akili sana tena sana...itoshe tu kusema kumuangusha diamond si kitu kidogo...diamond ni taasisi sio tu msanii wa bongofleva tena ni taasisi inayokua kwa kasi....
Hao uliowataja ndo wanamfanya dai kuwa vile alivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…