Kilichopo nyuma ya pazia Wema Sepetu kujiunga na Wasafi

Kilichopo nyuma ya pazia Wema Sepetu kujiunga na Wasafi

Umenena vema sana Mkuu..

Tatizo naloliona ni moja kubwa..

There's no a single move/mission that has been geared by Bashite ambayo imewahi kufanikiwa..

Iwe nzuri au mbaya, he is the best failure!

Ngoja tuone hii.
Tuweke rekodi vyema,
alifanikiwa kupata mgawo wa poda,alipata migari na urafiki na wauza poda ambao ndo wanarun dar, kajipatia mademu
 
Mchezo wao umeshamalizwa nguvu na zari. Kama kweli makonda ana nguvu ya ushawishi abadili msimamo wa zari kumrudia dai. Wasafi tv&radio kiki ishakufa zamaan saiv watatembelea jina kwa miaka miwili mitatu baada ya hapo chali kama sio wao walioingilia fani za watu kwa mbwembwe
Zari ndio nani?
 
Naitabiria Wasafi tv na Wasafi fm kifo cha mende...watanzania hivi sasa ni kama wamejeruhiwa na uongozi huu wa awamu ya tano..na wanaugulia majeraha yao kwa uchungu mno!..Chombo chochote kinachohisiwa kuwa kinatumiwa kwa maslahi ya wahusika wa mateso ya watanzania automatically kitasusiwa!..kuna vigazeti kama Tanzanite.janvi la habari yanaungana na yale ya serikali ya uhuru na mzalendo..kususiwa!Hayaendeshwi kibiashara bali ni kwa ruzuku za serikali!ndivyo itakavyokuwa hiyo Wasafi tv na fm radio!..ni TBC on the making..Bashite hawezi kubuni kitu kikafanikiwa kamwe!
gazeti la Tanzanite ndio linaongoza kwa mauzo Tanzania
 
Very funny... una mahaba hata shetani anayaogopa!

Tuanze na shows zake: zinakuwa ngapi kwa mwaka?

Kuhusu chuo: Ni kwamba atakuwa ana-hit kupitia matangazo ya redioni/TV/Magazetini wakati kinatangazwa chuo; au?!

Kuhusu WCB: Hilo liko wazi... wataendelea ku-shine kwa ngoma zao kupitia radio/tv kama ambavyo walikuwa wana-shine Sikinde, Msondo Ngoma, Diamond Musica, akina B Kidude, Ngurumo, Khadija Kopa, Innocent Nganywagwa n.k!

Hao wote walikuwa wana-shine hata kabla ya Internet let alone Instagram! RTD peke yake ilitosha kuwafanya wafahamike!!

Na kwa kukukumbusha tu, Diamond alianza ku-hit since 2010 wakati access to Internet ilikuwa chini Sana!
we jamaa hivi unakula nini umpe mwenzio aelewe.....
 
Kipind nasikiliza radio tanzania na kbc (kenya) sikuwah kujua kama kungekuwa na radio nyingine tena ,, kulikuwa na michezo ya radio sikuwah kudhan kama ingefutika kabisa...

Ulikiwa ukitaka kupiga simu unaenda kibandan unaambiwa "kudipu" hata neno beep hatukuwa tunalijua sh.100 ,, kila lenye mwanzo lina mwisho

Jambo likililiwa na wengi huwa ni laana tena laana kuu(nataman ningekuwa najua kubold) na mwisho wake huwa mbaya sana tena sana ....

Itafikia mahali utahisi umelogwa na kumtafuta mchawi ila si kweli bali machozi ya wanyonye ....wasijifiche kwenye neno "mungu" yes si Mungu mana Mungu ni wa kulipa haki daima ...kuna siku tutalamba asli huku tukinywa maziwa ila kama si hapa basi akhera

Mungu nitunzie kizaz changu ilinde JF vizaz vyetu vije kusoma mabandiko ya wazaz ama mababu zao
Unaelewa sana aisee,nimependa unatia moyo kila lenye mwanzo na mwisho pia upo ipo siku ambayo haina jina . kudo.Ngoma ikilia sana'.......
 
Umenena vema sana Mkuu..

Tatizo naloliona ni moja kubwa..

There's no a single move/mission that has been geared by Bashite ambayo imewahi kufanikiwa..

Iwe nzuri au mbaya, he is the best failure!

Ngoja tuone hii.
Halafu hajagundua na waliomzunguka pia hawajawahi kuliona hilo maajabu.
 
Unaelewa sana aisee,nimependa unatia moyo kila lenye mwanzo na mwisho pia upo ipo siku ambayo haina jina . kudo.Ngoma ikilia sana'.......
Tukifikiria chanya (na si nje ya box) basi lazima kwa hali ya sasa utaumia kama si kwa ww binafsi basi hata rafiki ama ndugu(kumbuka watz wote ni ndugu) ukiona hujaguswa popote pale unahitaji kujitafakari sana,,naamini ktka kilio cha mnyonge ila jua hasira ya Mungu huangamiza maelfu na mamilioni ,,usidhan hasira ikiwa juu yake utasalimika ,, hakuna wa kusalimika,,

Kama mwanadamu unayejiita unahofu ya "mungu" yes mungu wao ,,na kutaka kuombewa kila siku,, basi ajitafakari hata sec .moja ,,

Moyoni nimejaa chuki mno,je ni wangapi?? Kuna kitakachobadilika ?? Yes kipo naamini ktk umri hata iweje lazima utabadilika na narejea kusema "kuna siku tutalamba asali na maziwa ,,, kama si sisi basi hata kizazi changu kijacho
 
Kete yangu bado ipo kwa ruge

Japo za kunyapia nyapia inasemekana kuwa hiyo wasafi TV na wasafi Radio ni project za mr kusaga ( wana bifu flan kati yao ruge na kusaga)
Point...
Tatizo share...
Kusaga kumvua ruge ipo kazi pevu....
Hizo ni njia moja wapo.....mawingu itanyongwa pole pole...!
 
Ni mchezo uliojaribu kuchezwa kwa ufundi kidogo lakini kama kawaida umakini ndio unafunua kila kitu wakuhusika wakuu hapa ni Kingpin Albert Bashe maandalizi ya mbali kisiasa na kujijenga.

Clouds Media Mhanga ni Ruge, visa na utemi wa ujanani na kugombea jina nani zaidi mpaka sasa ni majeruhi wa vipigo vingi.

Kingpin player keshamuumiza sana mpaka kwenye mahusiano na sasa inaingia vita ya kibiashara na mustakabali.

Diamond kupitia Wasafi tv na FM radio umaarufu wake na nafasi katika jamii anatumika kufanikisha malengo ya wengine. Hata kama hataki, hana hiari ya kukataa Wema Sepetu hili ni wazo la Albert.

Huyu ndio kasuka mpango wa kumtoa CHADEMA na kumnyooshea mambo yake yote kuanzia kesi mahakamani mpaka figisu za kibiashara anatumika kisiasa zaidi kwa manufaa ya wengine.

Sasa Kingpin ana kila silaha silaha ya kufanikisha agenda ovu za siri zisizo siri
Ana backup ya mamlaka karibia zote

Ana backup ya media Wasafi media na gazeti la Tanzanite. Ana wapambe kina Musiba na wengine wengi. Ana backup ya watu maarufu wengi vijana under 40

Nisiandike mengi kwa sasa lakini Wema ni sehemu ya mkakati wa kufanikisha jambo kubwa huko mbeleni. Clouds iliyokuwa sehemu muhimu ya kusambaza propaganda zao sasa hivi si kitu tena imeshaumizwa na kujeruhiwa pakubwa.

Inaelekea mwisho wa enzi Wasafi tv na radio zinajengwa kuchukua nafasi ya Clouds Media wakishamaliza hilo subirini wabongo mtafurahishwa!
3e89fddaec952404cba35dc598c69f8d.jpg
Big mind
 
Uzuri ruge huwa haongei......
Nadhani muda Ndio utaamua na Ndio utakuja kuwa mwisho wa mmoja wapo!

Ruge ameshatukiswa sana na Ant- virus na Vinega Mara TID Mara Rubi na wengine Wengi!

Na wabongo huwa wanaushabiki wa muda hasa nikiangalia hao waliokuwa wanapambana na clouds walipongezwa sana ila muda Ndio uliamua!

Nadhani Diamond angefikiri vizuri na wanaomzunguka wangemshauri vizuri ila bahati mbaya hawaoni hili ingawa siungi mkono hicho ambacho huwa wanalamika kusema clouds inawanyonya( kama ni kweli)

Muda ni hakimu wa kweli
Umeongea ukweli mkuu naiyona hata ile redio tuliyo sema imekuja kuwa pindua clouds EFM..sahizi ni kama nguvu inapungua..

ujio wa Wasafi TV& Redio sidhani kama Clouds wata adhirika sana ila naona watakao adhirika zaidi ni EFM
 
mshana jr nilisikia kuwa Zari as a bisnesswoman alitamani kumcontrol na kumnyanyua Dai ila kikwazo kilikuwa mtu mmoja ambaye ndiye alikuwa anammilk Dai tumuite R. R kina anapoona Zari anajidhatiti, yeye anamleta Wema na kuonesha wanarudiana na Dai. Kawa vile Zari ana wivu sana, inabidi awe busy na kuhakikisha Wema hasogelei Dai na dili za R zinapeta. Je, haiwezekani ukawa ni mkakati wa R nao huo?
Huyo R ndo nani?
 
natamani watu wangejua kati ya diamond,fella,sallam au tale kuna mmoja ana akili sana tena sana...itoshe tu kusema kumuangusha diamond si kitu kidogo...diamond ni taasisi sio tu msanii wa bongofleva tena ni taasisi inayokua kwa kasi....
Hao uliowataja ndo wanamfanya dai kuwa vile alivyo
 
Back
Top Bottom