Kilichotokea ANC, hakiwezi kutokea CCM - Msekwa

Kilichotokea ANC, hakiwezi kutokea CCM - Msekwa

Duh! Kama ni kweli sasa huyu bwana itabidi afokewe ili akae nyumbani kwa angalau siku 120 bila kusafiri. Yaani yeye kila kukicha safari safari tu...anaenda kufanya nini kwenye hizo safari? Gotdamnit

Nafikiri hii kazi inabidi aifanye Obama labda atasikia. Amwambie nchini kwako kunamatatizo acha kuzurura
 
Nafikiri hii kazi inabidi aifanye Obama labda atasikia. Amwambie nchini kwako kunamatatizo acha kuzurura

Akimsikiliza Obama basi nitaamini kabisa ile picha ya ZeUtamu ilikuwa ya kweli!!!!!
 
RA anaenda kumuuliza JK ana msimamo gani na malumbano...na je vipi kama ngoma ikibumia court tufanyeje???hapo ndio mnapomchanganya mkulu....maana nae kama vile vita inamshinda sasa.......
 
DC throws lavish party;The newly appointed DC for Mbulu in Manyara region, Francis Isaac, gave an ostentatious party on Saturday to celebrate his appointment by President Jakaya Kikwete. Many people were invited to the big do which was held in Singida region with dancing, singing and cultural troupes. Guests drove 100 kilometres from Mbulu led by a police van. A tribal ceremony took place with Isaac donning garbs of a chief all with traditional weapons such as spear, bow and arrows. Meanwhile, Prime Minister Mizengo Pinda told directors of local authorities to stop allocating funds for procurement of expensive four-wheel drives. While accepting a report for Ruvuma region, Pinda said many local councils spend lavishly on posh cars instead of running development projects such as irrigation schemes. (Nipashe, Majira 4th May 2009)
 
Ni kweli kabisa hakiwezi kutokea maana CCM hawana demokrasia. Wanaona kabisa kwamba mwenyekiti wao hana dira lakini hawatawapa fursa wanachama kumchagua mtu mwingine kugombea uraisi. Ni lazima huyohuyo. Anavyosema hivyo anafikiri ni sifa, hajui ana-declare udikteta unaotawala kwenye chama chake.
 
Naomba mwenye data hatuambie tangu kuingia madarakani this man JKM amekuwa nje kwa siku ngapi na amekuwa ndani kwa siku ngapi ili tusimtuhumu kuwa nje siku zote kumbe inawezekana katumia muda mwingi ndani.
Jamani njooni na dataz tupate pa kumshikia pabaya.
 
Back
Top Bottom