Kilichotokea Hanang, kikitokea Mwanza itakuwaje?

Kuna mawe ni makubwa yapo juu juu tu tetemeko likitokea hayatotikisika na kushuka?
 
Mungu angekuwepo, kungekuwa hakuna haja ya kumuomba kitu.

Kwa upendo wake mkuu, angekupa unachohitaji kabla hata hujajua unakihitaji.

Ukiona kuna haja ya kumuomba Mungu tu, ujue huo ni uthibitisho Mungu hayupo, pambana na hali yako mwenyewe.
Kiranga hayupo, kilichoandiwa hapa kimetokea katika kuendelea kupasuka kwa ule utupu.
 
Mwanza hali kama ya Katesha HAIWEZI kutokea, jiografia hairuhusu na hakuna milima kama Hanang!
 
UPUMBAVU NI MZIGO KUIAMINI SELIKALI YA CCM NDIO UKICHAA KABISA.

Kweli kabisa mtu na akili timamu unadhani kilichotokea hanang ni maporomoko!!!????

Tena viongozi wenu wamekuwa na kauli mbili mbili
Mwingine anasema maporomoko ya mvua.

Mwingine anakwambia maporomoko ya mlima yamesababishwa na ardhi kunyonya maji kww muda mrefu na kumua kuporomoka.


FIKICHA AKILI
 
Ulimwengu ulianzaje?
Sijui, lakini haukuanzishwa na Mungu.

Naweza kujua jibu fulani si sahihi, bila kujua jibu sahihi ni lipi.

Naweza kujua kuwa ulimwengu haukuanzishwa na Mungu bila kujua ulianzaje.

Kama vile ninavyoweza kujua mwanamme mwenye miaka 30 leo, Juma, akiwa kakaa na binti mchanga mwenye miezi 6 leo, Anna, huyu Anna mwenye miezi 6 leo hawezi kuwa mama mzazi wa huyu mwanamme mwenye miaka 30 leo, bila hata kumjua mama mzazi wa huyo mwanamme mwenye miaka 30 leo.

Sasa, mimi nakwambia mwanamme mwenye miaka 30 leo hawezi kuwa na mama mzazi ambaye ni binti mwenye umri wa miezi 6 leo.

Wewe unaniuliza, mama yake mzazi huyu mwanamme ni nani?

Mimi nakwambia sijui, na wala sijasema namjua mama mzazi wa huyu mwanamme ni nani, nakwambia tu mama mzazi wa huyu mwanamme si huyu binti mwenye miezi 6 leo!

Naweza kutumia logical consistency nikajua Anna si mama mzazi wa Juma, naweza kutumia logical consistency hivyo hivyo kujua kuwa ulimwengu haukuanza kwa kuumbwa na Mungu.
 
Hata Mimi kuanzia juzi nawaza sana kuhusu jambo hili maana Kuna nyumba zingine zimejengwa chini ya mawe hapa Mwanza !
 
Mungu angekuwepo, kungekuwa hakuna haja ya kumuomba kitu.

Kwa upendo wake mkuu, angekupa unachohitaji kabla hata hujajua unakihitaji.

Ukiona kuna haja ya kumuomba Mungu tu, ujue huo ni uthibitisho Mungu hayupo, pambana na hali yako mwenyewe.
Teh teh kiranga ngoma ngumu

Ova
 
Kwenye ulimwengu wako wa kupasuka kwa utupu na mambo kutokea by chance hauwezi kusema kwamba huyo Anna hakumzaa Juma.
 
Kwenye ulimwengu wako wa kupasuka kwa utupu na mambo kutokea by chance hauwezi kusema kwamba huyo Anna hakumzaa Juma.
Wapi nilikwambia nipo katika ulimwengu wa utupu na mambo kutokea kwa chance?

Kama unaukubali ulimwengu huo, hata Mungu naye unakubali kwamba hayupo pia?
 
Kama unaukubali ulimwengu huo, hata Mungu naye unakubali kwamba hayupo pia?
Ulimwengu wa kupasuka kwa utupu mnaishi nyie atheists. Mungu yupo, uthibitisho ni heartbeats ulizonazo hapo. Hakuna mwanasayansi atakuambia nini hasa kinasababisha moyo udunde na kusukuma damu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…