Statistics
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 3,666
- 7,788
Wawauzie mlima wachina wasage kokoto. Miaka 10 panakuwa flati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muombe Mungu tu mkuu.Mimi namuamini Mungu.
Wewe unaamini nini?
Vipo hapo USA elimu zetu za kibongo bongo zinasoko?
SawaMuombe Mungu tu mkuu.
Elimu ya kibongo umesomea nini, level gani, wapi?
Hapo kutoboa US kazi mkuu. Huku production wana outsource siku hizi.Sawa
Elimu
Degree
Production management
Mzumbe
Poa mkuuHapo kutoboa US kazi mkuu. Huku production wana outsource siku hizi.
Ila unaweza kujiongeza.
Kuna mawe ni makubwa yapo juu juu tu tetemeko likitokea hayatotikisika na kushuka?Ni maoni yangu pia Mimi ni mkazi wa huko. Kuhusu kudondoka na kuanguka kwa mawe imetokea kwa mitaa jirani kabisa mfano mabatini, Sinai na ustawi . Pote huko sababu zilikuwa hivyo. Pia nature ya milima ya mwanza ndivyo ilivyo mfano kitangiri, isamiro huko mawe kidokidogo na yapo juu juu ila bwiru, mahina, mkorani, mkuyuni, nyegezi , mabatini ya nyerere A na B ,pamoja na bugarika na sehemu za karibu huko ni hatari mawe kuyachimba maana utajizika
Kiranga hayupo, kilichoandiwa hapa kimetokea katika kuendelea kupasuka kwa ule utupu.Mungu angekuwepo, kungekuwa hakuna haja ya kumuomba kitu.
Kwa upendo wake mkuu, angekupa unachohitaji kabla hata hujajua unakihitaji.
Ukiona kuna haja ya kumuomba Mungu tu, ujue huo ni uthibitisho Mungu hayupo, pambana na hali yako mwenyewe.
Logical non sequitur, logical fallacy.Kiranga hayupo, kilichoandiwa hapa kimetokea katika kuendelea kupasuka kwa ule utupu.
Thibitisha kwamba utupu ulipasukaLogical non sequitur, logical fallacy.
Hata kama Kiranga hayupo, hilo halithibitishi Mungu yupo.
Thibitisha Mungu yupo.
Mwanza hali kama ya Katesha HAIWEZI kutokea, jiografia hairuhusu na hakuna milima kama Hanang!Nimejaribu kufikiria tu huko Hanang kwa yaliyotokea sasa hebu tujiulize ile milima ya Mwanza na yale mawe makubwa itakuwaje? Tuombe Mungu isitokee kabisa huko mwanza.
Kuna mawe ni makubwa kuliko hata nyumba ya gorofa moja yapo milimani huko yananing'inia tu, haya yakiporomoka mpka huku tambarare hakuna kifaa chochote cha kuyasogeza pembeni kwasababu ni makubwa sana.
Au labda milima ya mwanza haina majanga ya asili?
Nimejaribu kuwaza tu ila kuna hatari sana huko
Kwani wapi nilikwambia utupu ulipasuka?Thibitisha kwamba utupu ulipasuka
Ulimwengu ulianzaje?Kwani wapi nilikwambia utupu ulipasuka?
Hujathibitisha Mungu yupo.
Sijui, lakini haukuanzishwa na Mungu.Ulimwengu ulianzaje?
Hata Mimi kuanzia juzi nawaza sana kuhusu jambo hili maana Kuna nyumba zingine zimejengwa chini ya mawe hapa Mwanza !Nimejaribu kufikiria tu huko Hanang kwa yaliyotokea sasa hebu tujiulize ile milima ya Mwanza na yale mawe makubwa itakuwaje? Tuombe Mungu isitokee kabisa huko mwanza.
Kuna mawe ni makubwa kuliko hata nyumba ya gorofa moja yapo milimani huko yananing'inia tu, haya yakiporomoka mpka huku tambarare hakuna kifaa chochote cha kuyasogeza pembeni kwasababu ni makubwa sana.
Au labda milima ya mwanza haina majanga ya asili?
Nimejaribu kuwaza tu ila kuna hatari sana huko
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]KAZI BURE, JOB FREE [emoji1787][emoji1787]We Selemani [emoji1787]Tahadhari ni Bora kuliko janja janja.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Teh teh kiranga ngoma ngumuMungu angekuwepo, kungekuwa hakuna haja ya kumuomba kitu.
Kwa upendo wake mkuu, angekupa unachohitaji kabla hata hujajua unakihitaji.
Ukiona kuna haja ya kumuomba Mungu tu, ujue huo ni uthibitisho Mungu hayupo, pambana na hali yako mwenyewe.
Kwenye ulimwengu wako wa kupasuka kwa utupu na mambo kutokea by chance hauwezi kusema kwamba huyo Anna hakumzaa Juma.Kama vile ninavyoweza kujua mwanamme mwenye miaka 30 leo, Juma, akiwa kakaa na binti mchanga mwenye miezi 6 leo, Anna, huyu Anna mwenye miezi 6 leo hawezi kuwa mama mzazi wa huyu mwanamme mwenye miaka 30 leo, bila hata kumjua mama mzazi wa huyo mwanamme mwenye miaka 30 leo.
Wapi nilikwambia nipo katika ulimwengu wa utupu na mambo kutokea kwa chance?Kwenye ulimwengu wako wa kupasuka kwa utupu na mambo kutokea by chance hauwezi kusema kwamba huyo Anna hakumzaa Juma.
Ulimwengu wa kupasuka kwa utupu mnaishi nyie atheists. Mungu yupo, uthibitisho ni heartbeats ulizonazo hapo. Hakuna mwanasayansi atakuambia nini hasa kinasababisha moyo udunde na kusukuma damu.Kama unaukubali ulimwengu huo, hata Mungu naye unakubali kwamba hayupo pia?