Kilichotokea kwa Aziz Ki kimenifanya niamini kuwa asilimia kubwa ya wanawake wa kibongo wanatumia ndumba kwenye mahusiano

Why does it matter to you if Aziz marries Hamisa or not?

You are not the one getting married, so why does it matter to you?

Your family is not paying for this wedding, so why does it matter to you?
Itakuwa wanaona anaharibu soko la ndoa, mabinti watataka dau kubwa la mahari.
 
Nilipoona tu maharusi hawa wanaweka fingerprint zao kwenye zile plastic nyeupe nikaelewa tayari mwamba kashatekwa kwenye ulimwengu wa giza.
 
Nilipoona tu maharusi hawa wanaweka fingerprint zao kwenye zile plastic nyeupe nikaelewa tayari mwamba kashatekwa kwenye ulimwengu wa giza.
mwamba atakuja kukumbuka shuka jioni sana, uzuri kila dawa ina expire date
 
USHAURI kwa eng wamuuze tu anapoelekea kengold inamsubiria kwa mkopo
 
Labda wanaona waoaji wenye mbwembwe kubwa mfano wa Azizi K wanaharibu soko lo ndoa kwa kupandisha juu sana maturation ya mabinti.
Hiyo ni inferiority complex na ushamba tu.

Yani mshamba Aziz Ki anawatia pressure washamba wa Bongo.

Wote washamba wamekutana.
 
Itakuwa wanaona anaharibu soko la ndoa, mabinti watataka dau kubwa la mahari.
Ukioa kwa mahari dunia ya leo ushapitwa na wakati na una tatizo kubwa sana zaidi ya Aziz Ki.

Someni hapo babu yenu alivyoiita mahari kitu kibaya sana.

"Nyerere describes bride prive as evil in posthumous bio"

 
Yule Bi Sandra kama binadamu ana madhaifu yake lakini kwenye suala la kumlinda kijana wake anatakiwa kupewa pongezi. Diamond asingeweza kukwepa mishare ya hawa maslay queen bila ulinzi wa mama ake. Hata yule mtoto wa Hamisa inawezekana bi mkubwa ndio alimshtua diamond kwamba amepigwa.
 
Siyo kwamba Bi Sandra anatiana na mwanwe kama masharti ya kusafisha nyota ya biashara ya muziki!!

Sidhani kama mama anamlinda ila ni wanapigana miti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…