Kilichotokea kwa Aziz Ki kimenifanya niamini kuwa asilimia kubwa ya wanawake wa kibongo wanatumia ndumba kwenye mahusiano

Kilichotokea kwa Aziz Ki kimenifanya niamini kuwa asilimia kubwa ya wanawake wa kibongo wanatumia ndumba kwenye mahusiano

Wanaume ni wingi sema huko kwenu ,unaonesha hasira ni wivu tu ..Hamisa ni binadamu kama wewe hana kosa ,ana haki ya kuolewa na huwezi kufanya chochote.

Too much expectations kill, ulitegemea ni uongo basi jamaa alimaanisha na ndoa ishapita .
MashaAllah. Kama hana wtt wawili vileeee
 
Ila wakuu twendeni mbele turudi nyuma semeni yote ila yote kwa yote hakuna watu wanaoroga km wanawake na mwanamke anaeroga kamwe huwezi kumdhania kabisa km huyu ni mrogaji mzuri sana, ngoja niishie hapa
 
ingekua hivo Mo na Bakresa kila wiki wangekua wana oa wa bongo wenye kufanya ndumba.
Atapata wapi manii ya hao?
Inasemekana huambiwa wapeleke kitambaa walichofutia baada ya mtanange!
 
If your mama did not teach you to respect other people's decisions in kife, you will not know that abusing Aziz for his personal choice is also a mistake.

You want to learn to not make a mistake while making a mistake.

But how would you know that?

You can't.

You have no home training.
Ngoja tuone
Hii comment naiweka pending
 
Au naona mawenge mtani!!!! Haiwezekani kila jambo mtu ahusianishe na imani zake. Waachwe wafurahie maisha yao
Umeona sawa kabisa. Mi pia sioni haja ya kumkalia mtu kooni wakati yale ni maisha yake.

Nungana nawe Mtani waachwe wafurahie maisha yao.
 
Back
Top Bottom