Kilichotokea kwa Aziz Ki kimenifanya niamini kuwa asilimia kubwa ya wanawake wa kibongo wanatumia ndumba kwenye mahusiano

Tusubirie akili zake zirudi sasa 😂😂😂😂
 
Wabongo wengi huwa tuna lalamika Kuhusu kumunywa kwa haki za binadamu.

Ila ukija kiuhalisia sisi ni ndio viongozi wakuingilia mipaka ya watu, kwanini azizi na hamisa si wana haki ya kuchagua na kuamua!.

let them live bhana.
vipi wewe unaweza kuoa kibibi chenye watoto zaidi ya mmoja
 
Inawezekana,lakini pia mauno!
 
 
Msemo wa wananzego "anamganga mzuri". Majizo aliweka Kambi mpaka akanogewa akastuka kaweka mimba ndio akazinduka, mtoto wa tandale nae akazamia nae akashituka dk za jioni hao wote Kila mwisho wa mwezi lazima waasilishe maokoto. Ss na mwaneto kaonjeshwa kidogo akachanganyikiwa akatangaza ndoa
 
Wanaume wa kihindi na Kiarabu wana Fedha sana kuliko Wafrika na wabongo. Lakini huoni wakichezewa kama hivi.
Black skinned people wako obsessed sana kwa ngono, heshima sifa, akipata hera atatumikishwa sana watu wanafikiri ni ndumba wakati ni greedness we ona diamond miaka 40 bado ana hassle na kuoa tena wakati ange kua ana consolidate mali zake.
 
Wabongo wanakuza sana hilo neno ndumba ,mtaendelea kuibiwa sana hamna ndumba wala ukwaju.

Mapenzi yenyewe ni uchizi ,mnamkumbuka yule jamaa wa Hamida na yule wa zulfa ,pia kuna clip jamaa anaitwa Mawazo aliachwa ikawa analia hataki kula.

Mapenzi hatari sana unaweza kujenga ukweni bila ya kupenda ila hakuna ndumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…