Kilichotokea kwa Aziz Ki kimenifanya niamini kuwa asilimia kubwa ya wanawake wa kibongo wanatumia ndumba kwenye mahusiano

Kinachokusikisha zaidi ni nini? nimesoma Uzi bado sijaielewa concern yako😇
 
Allow us call a spade a spade
We are saying what we can see and it matters cause we want to learn from Aziz k mistake
If your mama did not teach you to respect other people's decisions in kife, you will not know that abusing Aziz for his personal choice is also a mistake.

You want to learn to not make a mistake while making a mistake.

But how would you know that?

You can't.

You have no home training.
 
utopolo mtupu
 
Sasa unatowa ng'ombe 30 ili kuowa ng'ombe mmoja? Akili iko wapi hapo?
 
Sasa hata kama Aziz kakosea si hela zake, maisha yake. Wao kinachowauma nini kama si wivu tu?
 
Halafu wengi wao wanafuata mkumbo tu
Kwa sababu hawana shughuli maalum ya kuwafanya kuwa busy, na hawana akili za kufikiri zaidi ya mambo ya personal drama.

The ancient Roman poet Juvenile said to rule poor uneducated people just give them bread and circuses, they will forget all important things.

These poor uneducated Africans do not even get bread, just bad circuses.
 
Kwahiyo Diamond aliyepiga chini hiki kigagula alikuwa anamuonea wivu?
Diamond hata hakujui wewe, acha kufuatilia maisha ya watu hao washaamua kuishi yao. Akimuonea wivu, asimuonee wivu, kivyao, the matter is immaterial.

Wewe ishi maisha yako. Hizi habari za kumpangia mwanamme mwenzako mtu baki aoe vipi mwishowe utataka uwe msenge akuoe wewe. Utasema wanawake wote hawafai wewe ndiye unafaa kuolewa.

Mwanamme hampangii mwanamme mwenzake jinsi ya kuoa mkuu.

Wanawake wote watakaokuja hapa kumsema Aziz Ki kaoa vibaya nitawaona hawana home training, hawajui kuheshimu privacy ya mtu, lakini kuna point moja nitawaelewa. Wale wapo katika competition na Hamisa kuolewa na Aziz.

Wewe mwanamme ukiisema hii ndoa pia utakuwa umekosa home training, hujui kuheshimu privacy ya ndoa za watu. Lakini pia utakuwa umeingia kwenye competition na Hamisa kutaka kuolewa na Aziz.

Why the heck would a man care who Aziz marries?
 
 
we mzee ushazeeka unaandika upupu tu haueleweki
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…