Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Nilikuwa naangalia Mechi ya Belgium Vs Croatia.
Mechi imekwisha, Lukaku kavua jezi kumpatia mchezaji wa Croatia huku akimtaka nae ampatie yake!
Yule mchezaji akamwambia Lukaku wamekatazwa kubadilishana jezi, kwahiyo hata yako baki nayo tu!
Lukaku kashangaa! Eeh, kweli mmekatazwa? Jamaa akamwambia ndio! Halafu akaondoka kumuacha Lukaku ameshikilia jezi yake.
Nimeangalia wachezaji wote wa Croatia hakuna aliyevua jezi!
Inawezekana ni sababu ya Corona!
Ila najua Hii ya jezi ndio itatawala zaidi Habari kuliko matokeo ya Mechi yenyewe! [emoji3]