Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Kwani lazima?Huyo mkoreshia mbona wako na ujinga
Hvo Kama n covid huko uwanjan
C wamekabana Sana huko wenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani lazima?Huyo mkoreshia mbona wako na ujinga
Hvo Kama n covid huko uwanjan
C wamekabana Sana huko wenyewe
Hebu labda nieleze tena kwa maneno mepesi.Niliona umeandika coronavirus na jibu langu limejibu hiyo komenti.
Ila kama una hamu na ubishi anzia hapa sasa.
Kiswahili kigumu kwako, ndiyo maana umeshindwa kusoma kwa ufahamu.
Habari hii, inayotilia mkazo watu kujilinda afya zaidi na kutopuuzia maambukizi, ilitakiwa kukufanya uone umuhimu wa watu kuacha habari za kubadilishana jezi, sio kuendelea kuishi kwa kukariri habari hizo.Hii habari uliionaView attachment 1810940
Habari hii, inayotilia mkazo watu kujilinda afya zaidi na kutopuuzia maambukizi, ilitakiwa kukufanya uone umuhimu wa watu kuacha habari za kubadilishana jezi, sio kuendelea kuishi kwa kukariri habari hizo.
Inaelekea hujaelewa somo lililo katika habari uliyoileta wewe mwenyewe.
Unachanganya habari. In a deliberate clausterfuck.sio kwamba chanjo.mnazopigia Debe.hazina faida!?
Maana kabla ya chanjo walikuwa wanaenda vizuri Tu.
ILA baada ya chanjo namba IMEPAA.
Umejifunza nini?
Unachanganya habari. Ina deliberate clausterfuck.
Umeshindwa kutetea hoja zako kwenye kubadilishana jezi, unaleta habari za chanjo.
Wapi ninetaja chanjo kwenye uzi huu?
Your brain does not posses the wattage to make me panic.Mbona unapanic?
Hapa kitakachotrend ni ubaguzi wa rangi.Nilikuwa naangalia Mechi ya Belgium Vs Croatia.
Mechi imekwisha, Lukaku kavua jezi kumpatia mchezaji wa Croatia huku akimtaka nae ampatie yake!
Yule mchezaji akamwambia Lukaku wamekatazwa kubadilishana jezi, kwahiyo hata yako baki nayo tu!
.....
Lukaku kashangaa! Eeh, kweli mmekatazwa??!! Jamaa akamwambia ndio! Halafu akaondoka kumuacha Lukaku ameshikilia jezi yake!!
.....
Nimeangalia wachezaji wote wa Croatia hakuna aliyevua jezi!!
Inawezekana ni sababu ya Corona!
Ila najua Hii ya jezi ndio itatawala zaidi Habari kuliko matokeo ya Mechi yenyewe! [emoji3]
Wa Croatia wana haki ya kupewa uhuru wa kukataa kubadilishana jezi kipindi hiki cha Corona bila kuandamwa kwa ubaguzi wa rangi.Hapa kitakachotrend ni ubaguzi wa rangi.
Enhe tuendeleeHebu labda nieleze tena kwa maneno mepesi.
Nimeeleza kwamba, hata kabla ya Coronavirus, kubadilishana jezi zenye jasho ilikiwa ni njia ya kusambaza maambukizi ya magonjwa.
Nimeweka links za baadhi ya magonjwa yanayoweza kuambukizwa kwa jinsi hii hapo juu
Mtu anatoka na herpes huko, anakugawia gratuitously kwenye jasho la jezi.
Kuja kwa Corona kume expose maambukizi. Watu wanaotumia akili zao wanatakiwa kupunguza chances za maambukizi ya magonjwa mengi tu, sio Corona tu, kwa kutumia somo la Corona.
Na kwa kuwa kubadilishana jezi ni vector ya maambukizi, mimi naweza kuwaelewa vizuri sana watu watakaokataa kubadilishana jezi.
Ila bado kuna watu wamezoea kuishi kwa kukariri watataka kuendelea kuishi kwa kukariri maisha ya kila siku yalivyokuwa kabla ya Covid-19.
Kama wewe huthamini afya yako, una haki ya kutothamini afya yako.
Lakini usilazimishe na wengine wasithamini afya zao kama wewe.
Hapo unanitegea sasa.Enhe tuendelee
Sio lazma Lakin hzo hua n taratibu za kimpiraKwani lazima?
Kama si lazima ndiyo kakataliwa sasa.Sio lazma Lakin hzo hua n taratibu za kimpira
Hasa mchezaj akipenda jez ya mwenzake
Yaani Cristiano ronaldo awe Ukurutu.....That was a rhetorical question.
Wanapimwa magonjwa mangapi?
Ukurutu nao wanapimwa?
Wanapimwa herpes?
Kwani hawezi kuwa nao? Na ukurutu ndio magonjwa yote? Na mechi zote anacheza yeye tu namba zote?Yaani Cristiano ronaldo awe Ukurutu.....
HayaYour brain does not posses the wattage to make me panic.
Do not flatter yourself.
Unahisi huko kwao ni wazee kama kwenu huku?? Mchezaji wa ulaya aingie na ukurutu uwanjani..Kwani hawezi kuwa nao? Na ukurutu ndio magonjwa yote? Na mechi zote anacheza yeye tu namba zote?