Kilichotokea kwenye mechi ya Belgium na Croatia

Kilichotokea kwenye mechi ya Belgium na Croatia

Unahisi huko kwao ni wazee kama kwenu huku?? Mchezaji wa ulaya aingie na ukurutu uwanjani..
Wewe bado una ulimbukeni wa kuona Ulaya kama mbingu fulani hivi.

Ulaya kuna magonjwa ya ngozi kuliko Afrika.

Nimekuuliza ukurutu ndiyo magonjwa yote, hujajibu.

Ni kwamba hujui kusoma au huna jibu tu?
 
Wewe bado una ulimbukeni wa kuona Ulaya kama mbingu fulani hivi.

Ulaya kuna magonjwa ya ngozi kuliko Afrika.

Nimekuuliza ukurutu ndiyo magonjwa yote, hujajibu.

Ni kwamba hujui kusoma au huna jibu tu?
Limbukeni ni wewe unauona umaskini wako upo dunia nzima, Wenzako hawapuuzi jambo kama kwenu,, hawampimi mtu kwa macho kama ufanyavyo wewe..Wenzako kila baada ya muda fulani wanaenda hospital kujua maendeleo ya miili yao sio sawa na wewe..Wenzako wakiwashwa kidogo tu wanawauliza wataalamu nini shida? Unadhani wao ni kama nyie...
 
Hebu labda nieleze tena kwa maneno mepesi.

Nimeeleza kwamba, hata kabla ya Coronavirus, kubadilishana jezi zenye jasho ilikiwa ni njia ya kusambaza maambukizi ya magonjwa.

Nimeweka links za baadhi ya magonjwa yanayoweza kuambukizwa kwa jinsi hii hapo juu

Mtu anatoka na herpes huko, anakugawia gratuitously kwenye jasho la jezi.

Kuja kwa Corona kume expose maambukizi. Watu wanaotumia akili zao wanatakiwa kupunguza chances za maambukizi ya magonjwa mengi tu, sio Corona tu, kwa kutumia somo la Corona.

Na kwa kuwa kubadilishana jezi ni vector ya maambukizi, mimi naweza kuwaelewa vizuri sana watu watakaokataa kubadilishana jezi.

Ila bado kuna watu wamezoea kuishi kwa kukariri watataka kuendelea kuishi kwa kukariri maisha ya kila siku yalivyokuwa kabla ya Covid-19.

Kama wewe huthamini afya yako, una haki ya kutothamini afya yako.

Lakini usilazimishe na wengine wasithamini afya zao kama wewe.
Unaeleza ukweli na wa kitaalamu kiafya. Kwanza kubadilishana nguo chafu (jasho) na kuzivaa pasipo kufua ni kuvaa uchafu wa mwenzako! Labda wanapobadilishana wasiwe wanavaa, washike tu mkononi mpaka watakapofua
 
Wewe mwenyewe umeleta umbea umbea tu haujataja matokeo
 
Limbukeni ni wewe unauona umaskini wako upo dunia nzima, Wenzako hawapuuzi jambo kama kwenu,, hawampimi mtu kwa macho kama ufanyavyo wewe..Wenzako kila baada ya muda fulani wanaenda hospital kujua maendeleo ya miili yao sio sawa na wewe..Wenzako wakiwashwa kidogo tu wanawauliza wataalamu nini shida? Unadhani wao ni kama nyie...
Wewe ngumbaru bado hujaelewa kwamba Covid-19 ni paradigm shift.

Unataka kuwalazimisha wa Croatia kubadilishana jezi?
 
Nilikuwa naangalia Mechi ya Belgium Vs Croatia.

Mechi imekwisha, Lukaku kavua jezi kumpatia mchezaji wa Croatia huku akimtaka nae ampatie yake!

Yule mchezaji akamwambia Lukaku wamekatazwa kubadilishana jezi, kwahiyo hata yako baki nayo tu!

Lukaku kashangaa! Eeh, kweli mmekatazwa? Jamaa akamwambia ndio! Halafu akaondoka kumuacha Lukaku ameshikilia jezi yake.

Nimeangalia wachezaji wote wa Croatia hakuna aliyevua jezi!

Inawezekana ni sababu ya Corona!

Ila najua Hii ya jezi ndio itatawala zaidi Habari kuliko matokeo ya Mechi yenyewe! [emoji3]

Mimi ni fan wa Argentina, lakini Belgium nawaheshimu. Akikutana na timu kutoka south amerika brazil au chile atajipigia tu 😄 chile kidogo wana afazali, brazili atapigwa nyingi sana😄
 
Unakataa na kubisha kwamba kubadilishana nguo zenye jasho si njia ya kusambaza magonjwa?

Unaelewa jezi yenye jasho ina bacteria, fungi, virus wa aina gani na kubadilishana jezi kunazidisha vipi kubadilishana hawa vijidudu?

Hebu soma watu wameandika haya mambo.

Kama unajua kusoma hii lugha.

Huyu jamaa no mbishi wa kishamba sana, nilishampuuzaga
 
Wewe bado una ulimbukeni wa kuona Ulaya kama mbingu fulani hivi.

Ulaya kuna magonjwa ya ngozi kuliko Afrika.

Nimekuuliza ukurutu ndiyo magonjwa yote, hujajibu.

Ni kwamba hujui kusoma au huna jibu tu?
Kiranga[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]basi kaka naona unanipangulia mmoja baada ya mwingine bado kulifikia goli tu kufunga[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mjingamimi kanyoosha [emoji119][emoji119]juu
 
Germany mashine kapiga mtu goli 7

List inaendelea
Saudi Arabia alinyukwa 8
Brazil alinyukwa 7
Latvia amenyukwa hii leo 7
N.k 🤣🤣
 
Back
Top Bottom