Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Wanakabanaje mpira na corona hii?Na Coronavirus yote hii watu wanataka kubadilishana jezi tu?
Kwa ubishi tu.Wanakabanaje mpira na corona hii?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa ubishi tu.
Na Coronavirus yote hii watu wanataka kubadilishana jezi tu?
Hawakuwa na Barakoa.Na Coronavirus yote hii watu wanataka kubadilishana jezi tu?
Inaonekana mimi na wewe hatupo katika ngazi moja.Kaka UNASIKITISHA.
NI Sawa ukae na mkeo sebuleni mpo wawili lakini mmevaa barakoa.alafu mkiingia chumbani mmevua TENA mpo uchi.
Inaonekana mimi na wewe hatupo katika ngazi moja.
Kwa hiyo, hatuwezi kuelewana.
Siku nyingine ukitaka kumvunjia mke heshima kwa mifano ya ajabu, tumia mfano wa mke wako.
Kabla ya Corona kubadilishana jezi ilikuwa ni njia ya kusambaza magonjwa mengine mengi tu.
Na sasa ni muda wa kufikiria mara mbili tamaduni hizi ambazo zilichukuliwa kawaida kabla ya Corona.
Kama hutaki kuelewa somo hilo utakuwa ama mjinga, ama mbishi tu.
Usitake niseme kwamba hujajipa jina lako kwa bahati mbaya tu.
Unakataa na kubisha kwamba kubadilishana nguo zenye jasho si njia ya kusambaza magonjwa?Kuna mchezaji gani alipata GONJWA lolote sababu ya kubadilishana jezi?
Unakataa na kubisha kwamba kubadilishana nguo zenye jasho si njia ya kusambaza magonjwa?
Unaelewa jezi yenye jasho ina bacteria, fungi, virus wa aina gani na kubadilishana jezi kunazidisha vipi kubadilishana hawa vijidudu?
Hebu soma watu wameandika haya mambo.
Kama unajua kusoma hii lugha.
Skin Infections in Athletes - OrthoInfo - AAOS
Skin infections are common in athletes of all ages, particularly those involved in high-contact sports like wrestling and football. Prompt treatment is needed to prevent an infection from worsening and to reduce the risk of teammates becoming infected.orthoinfo.aaos.org
Mkude utovu wa nidhamuKuna mchezaji gani alipata GONJWA lolote sababu ya kubadilishana jezi?
Kiswahili kigumu kwako, ndiyo maana umeshindwa kusoma kwa ufahamu.Kumbe Kiswahili kigumu hivi.
Mbona wanabadilishana?Na Coronavirus yote hii watu wanataka kubadilishana jezi tu?
That was a rhetorical question.Mbona wanabadilishana?
Mechi ya mwisho katika Bundes Liga Haaland alibadilishana jezi na Refa.
Kabla ya kuingia kambini unapimwa, kabla ya mechi unapimwa so kama mpo uwanjani inamaanisha wote mmepimwa na mko sawa.
Niliona umeandika coronavirus na jibu langu limejibu hiyo komenti.That was a rhetorical question.
Wanapimwa magonjwa mangapi?
Ukurutu nao wanapimwa?
Wanapimwa herpes?