Wewe bado una ulimbukeni wa kuona Ulaya kama mbingu fulani hivi.Unahisi huko kwao ni wazee kama kwenu huku?? Mchezaji wa ulaya aingie na ukurutu uwanjani..
Limbukeni ni wewe unauona umaskini wako upo dunia nzima, Wenzako hawapuuzi jambo kama kwenu,, hawampimi mtu kwa macho kama ufanyavyo wewe..Wenzako kila baada ya muda fulani wanaenda hospital kujua maendeleo ya miili yao sio sawa na wewe..Wenzako wakiwashwa kidogo tu wanawauliza wataalamu nini shida? Unadhani wao ni kama nyie...Wewe bado una ulimbukeni wa kuona Ulaya kama mbingu fulani hivi.
Ulaya kuna magonjwa ya ngozi kuliko Afrika.
Nimekuuliza ukurutu ndiyo magonjwa yote, hujajibu.
Ni kwamba hujui kusoma au huna jibu tu?
Unaeleza ukweli na wa kitaalamu kiafya. Kwanza kubadilishana nguo chafu (jasho) na kuzivaa pasipo kufua ni kuvaa uchafu wa mwenzako! Labda wanapobadilishana wasiwe wanavaa, washike tu mkononi mpaka watakapofuaHebu labda nieleze tena kwa maneno mepesi.
Nimeeleza kwamba, hata kabla ya Coronavirus, kubadilishana jezi zenye jasho ilikiwa ni njia ya kusambaza maambukizi ya magonjwa.
Nimeweka links za baadhi ya magonjwa yanayoweza kuambukizwa kwa jinsi hii hapo juu
Mtu anatoka na herpes huko, anakugawia gratuitously kwenye jasho la jezi.
Kuja kwa Corona kume expose maambukizi. Watu wanaotumia akili zao wanatakiwa kupunguza chances za maambukizi ya magonjwa mengi tu, sio Corona tu, kwa kutumia somo la Corona.
Na kwa kuwa kubadilishana jezi ni vector ya maambukizi, mimi naweza kuwaelewa vizuri sana watu watakaokataa kubadilishana jezi.
Ila bado kuna watu wamezoea kuishi kwa kukariri watataka kuendelea kuishi kwa kukariri maisha ya kila siku yalivyokuwa kabla ya Covid-19.
Kama wewe huthamini afya yako, una haki ya kutothamini afya yako.
Lakini usilazimishe na wengine wasithamini afya zao kama wewe.
Tena chafu!Kama si lazima ndiyo kakataliwa sasa.
Na mi Covid yote hii mtu bila aibu anataka kubadilishana jezi?
Wewe ngumbaru bado hujaelewa kwamba Covid-19 ni paradigm shift.Limbukeni ni wewe unauona umaskini wako upo dunia nzima, Wenzako hawapuuzi jambo kama kwenu,, hawampimi mtu kwa macho kama ufanyavyo wewe..Wenzako kila baada ya muda fulani wanaenda hospital kujua maendeleo ya miili yao sio sawa na wewe..Wenzako wakiwashwa kidogo tu wanawauliza wataalamu nini shida? Unadhani wao ni kama nyie...
Nilikuwa naangalia Mechi ya Belgium Vs Croatia.
Mechi imekwisha, Lukaku kavua jezi kumpatia mchezaji wa Croatia huku akimtaka nae ampatie yake!
Yule mchezaji akamwambia Lukaku wamekatazwa kubadilishana jezi, kwahiyo hata yako baki nayo tu!
Lukaku kashangaa! Eeh, kweli mmekatazwa? Jamaa akamwambia ndio! Halafu akaondoka kumuacha Lukaku ameshikilia jezi yake.
Nimeangalia wachezaji wote wa Croatia hakuna aliyevua jezi!
Inawezekana ni sababu ya Corona!
Ila najua Hii ya jezi ndio itatawala zaidi Habari kuliko matokeo ya Mechi yenyewe! [emoji3]
Huyu jamaa no mbishi wa kishamba sana, nilishampuuzagaUnakataa na kubisha kwamba kubadilishana nguo zenye jasho si njia ya kusambaza magonjwa?
Unaelewa jezi yenye jasho ina bacteria, fungi, virus wa aina gani na kubadilishana jezi kunazidisha vipi kubadilishana hawa vijidudu?
Hebu soma watu wameandika haya mambo.
Kama unajua kusoma hii lugha.
Skin Infections in Athletes - OrthoInfo - AAOS
Skin infections are common in athletes of all ages, particularly those involved in high-contact sports like wrestling and football. Prompt treatment is needed to prevent an infection from worsening and to reduce the risk of teammates becoming infected.orthoinfo.aaos.org
5 infections that you can catch doing sports
Learn about the 5 common infections spread in sports and how you can avoid them.www.initial.com
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119][emoji119]That was a rhetorical question.
Wanapimwa magonjwa mangapi?
Ukurutu nao wanapimwa?
Wanapimwa herpes?
Kiranga[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]basi kaka naona unanipangulia mmoja baada ya mwingine bado kulifikia goli tu kufunga[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mjingamimi kanyoosha [emoji119][emoji119]juuWewe bado una ulimbukeni wa kuona Ulaya kama mbingu fulani hivi.
Ulaya kuna magonjwa ya ngozi kuliko Afrika.
Nimekuuliza ukurutu ndiyo magonjwa yote, hujajibu.
Ni kwamba hujui kusoma au huna jibu tu?