Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
CCM CCM CCM hata nyinyi hamtakua salama kama mtaendeleza siasa hizi.
CCM CCM CCM narudia, msilazimishe njia mloichagua kua njia ya maisha ya kisiasa.
CCM CCM CCM endapo vifo vitaanza kutokea kwa wanachadema wote waliolala mahali hapo, na vifo hivo vikawa ni leo au huko mbeleni, CCM mtawajibika kwa hilo.
Lakini niwape onyo, komeni mara moja kufanya ugaidi wa silaha za kikemikali.
CCM CCM niwaombe sana, nyie ni watanzania wenzetu, siasa sio vita, ila ni siasa ya kugombania madaraka ndio huleta vita, acheni hii, acheni hii mara moja.
Kama kuna wazee wa makamo wenye akili huru, naombeni muwaambie viongozi wa CCM, hili linalofanyika leo ni hatari sana, ni hatari sana.
Huwezi kumwaga sumu kuua halaiki.
Soma Pre GE2025 - Wasiojulikana wavamia Ofisi za CHADEMA Kanda ya Nyasa na kumwaga sumu eneo lote kwa lengo la kuwaua Viongozi na Wanachama